Hapo ndo inkuja essence ya kulipwa kwa waandamanajiUtakuta majizi yanajichanganya ili yapore nyie huku mnaita maandamano ...hiyo ni Political looting
hao ndio wajinga kabisa na wanajisababishia madhara halafu wanakuja kulia lia eti waonewe huruma.
Kuna maandamano yanafanyika usiku??? UJINGA NI KITU KIBAYA SANA!!!
Hii ni Jamhurii Huru ya watu wa kimaraWakuu,
Naambiwa huko Kimara mambo yameshaanza kuchemka. Wananchi wameanza kujitokeza barabarani
Jamhuri ya watu wa KimaraKimara ipi hiyo...
Acha wapore si mmeshindwa kukemea utekaji sioUtakuta majizi yanajichanganya ili yapore nyie huku mnaita maandamano ...hiyo ni Political looting
hao ndio wajinga kabisa na wanajisababishia madhara halafu wanakuja kulia lia eti waonewe huruma.
Kuna maandamano yanafanyika usiku? UJINGA NI KITU KIBAYA SANA!!!
Unapangia watu muda wa kuandamana?Utakuta majizi yanajichanganya ili yapore nyie huku mnaita maandamano ...hiyo ni Political looting
hao ndio wajinga kabisa na wanajisababishia madhara halafu wanakuja kulia lia eti waonewe huruma.
Kuna maandamano yanafanyika usiku? UJINGA NI KITU KIBAYA SANA!!!
Nawakubali sana wanetu wa KimaraUkanda wa Gaza tuko mbele ya muda sana , tukutane IKULU