Video: Kimara wameshaanza kutesti mitambo. Watu wameanza kuingia barabarani

Hii video sidhani kama kweli ni ya leo.

Jana niliona imepostiwa Instagram na watu wakisema ni usiku wa kuamkia leo.

Kuna uwezekano hii video ilikuwa ni ya mwezi uliopita wakati wa maandamano ya MO29.

Naomba hiyo link ya Instagram mkuu
 
Kuna kanuni moja ya kijeshi inasema, ukiwa na silaha ambayo huwezi kuitumia ni hatari kuliko kutokuwa nayo.
takribani 85% ya Gen Z hawana ujuzi wowote wa kutumia silaha za kijeshi...hivyo unacho ongea ni ndoto za mchana!.
Yaani Gen Z Wanaokula chips yai, useme waende kuvamia kituo cha jesh? Unalijua Jeshi au unawaona tu kwenye TV?...Ni sawa na kutuma watu wakakate simba kwa mikono....
 
Kuna kanuni moja ya kijeshi inasema, ukiwa na silaha ambayo huwezi kuitumia ni hatari kuliko kutokuwa nayo.
takribani 85% ya Gen Z hawana ujuzi wowote wa kutumia silaha za kijeshi...hivyo unacho ongea ni ndoto za mchana!.
Jidanganye
 
Ngoja kesho wafike Ikulu, mpango wa kuwachonganisha Wanaccm na Samia waache uoga
 
Huu sasa ni Ujinga izo infrastructures ni very expensive hata ni Mimi ningepewa mamlaka yoyote mwenye kucheza na izo property za Umma ni kifo tu Yani tujenge mradi wa 6.5 trillion afu raia wachache waufanyie Vandalism hapo nikukuwahisha tu Kwa sir God
 

Mpumbavu huyo.

Ndo anafanya waandamanaji woote waonekane hamnazo.

Ukalivamie jeshi limewakosea nn, Watu wamekaa zao huko kambini wanakula bhangi zao hawana Shida na mtu
 
Linda uhai wako na kiwiliwili chako

epuka maandamano haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…