Video: Kimara wameshaanza kutesti mitambo. Watu wameanza kuingia barabarani

Asee yaani mtu mmoja au wanne mkubaliwe kuchoma mali za watanzania Mil 60? Ili kujifurahisha na kuwafurahisha akina Kimambi? Nisiwadanganye kwa fikra hizi za kuchoma mali za uma mtaitwa sana kwa muumba. Nb wauza majeneza lazima mtajirike safari hii
 
Ngoja kwanza nivute ganja nilale ingawa na mafua
tukutane kesho pale pale!
 
Video hiyohiyo inapostiwa tangu juzi huku caption ikiwa ni usiku wa leo, kweli nyumbu hamna akili, toka sahivi nje nenda kaanzishe usiku wako wa leo ya kweli uone kitakachokukuta.

Hakuna huruma wala kucheka na nyumbu sahivi.
 
Tanzania hakuna jeshi, wale mashoga wanaovaa combats ndiyo unaita wanajeshi? Hawawezi hata kupambana physical combat na sungusungu wala mgambo wa city council.
 
Naomba hiyo link ya Instagram mkuu
Nimejaribu sana kutafuta lakini nimeikosa.

Sima kumbukumbu niliiona kwenye page ya nani lakini my guts feelings zinanambia video hii sio ya leo na nimewahi kuiona kabla
 
Akili yako haina tofauti yoyote na ya huyo Samia; kwa hiyo huna cha kujivunia.
Kama huwezi kujuwa kuwa Samia ndiye anaharibu hiyo miundo mbinu, unataka uelezwe vipi?
 
upuuzi mtupu
Pamoja na maelezo mengi kuwa hii ni feki lakini bado kuna mimbulula inaamini ni ya kweli
Mnajazwa ujinga na wachochezi huko mitandaoni ambao wengi hata hawaishi bongo halafu mkitoka kichwakichwa mnafumuliwa ubongo
 
K
Kuchoma ni kurudisha taifa miles kadhaa nyuma, ila inashindikana kabisa, ubaya ubwela tu
 
Nikumbushe ni lini walikuja kulia na kuomba waonewe huruma
 
Mpuuzi kweli wewe.
 
Mpuuzi kweli wewe.
 

Kuna marehemu wa tarehe 29 mmewasiliana akakuambia madhara ya kufa?
 
Ninamashaka na uhalisia wa clip ila ukweli utabaki kuwa Kimara inabinaadamu wa aina flani hivii,yaani wao wakisema jambo huwa hawatanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…