Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
No reform no election itamfikia kila mtu kwa style yake na namna tofauti
Haijawahi kutokea 🐼Kura za maoni za CCM ni nomaa
Mafisiem wanakulana waokwawao,kama Tu ni hivi Kwa mti mbichi itakuwaje Kwa mti mkavu "chadema" no reforms no election
Nchi inanuka uvundo, upumbavu umekua ndiyo akili na akili imekuwa ndiyo upumbavu. Samia hatakiwi kuachwa kitini litakuwa kosa kubwa sana kufuata matakwa ya Rostam azizi na genge lake ambao wao siyo watanzania wanajua nchi ikichafuka wanapanda ndege kwenda kula bataWakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Duh,Wakuu!

Wapumbavu hawa ..Wakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Hapo unakuta wanataka kutoana roho kisa mgao wa elfu 10Wakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Hilo jimbo ni la Chaumma.Wakuu!