GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu!

Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.

Nikikumbuka segerea naona kichefuchefu.ni kama serikali imegoma kurekebisha tatizp la maji. Maji ni shida kubwa sana Segereq na maeneo yote ya kinyerezi. Halafu unaona Mbinge wako wala hasemi chochote huko kwenye vikao vya Bungeni
 
Sehemu nyingi nchini ilikuwa ni ubabe ubabe tu wenyewe kwa wenyewe, sasa wakikutana na ACT na CHAUMMA sijui itakuwaje?!
 
Back
Top Bottom