Video: Kinachoendelea Ujerumani watanzania tupunguze lawama kwa serikali

Video: Kinachoendelea Ujerumani watanzania tupunguze lawama kwa serikali

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu.

Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani?

Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.
 
1626465681115.png

Paris in flames as protesters fight new Covid pass and vaccine laws (msn.com)
Protesters in Paris were tear gassed during violent demonstrations against France's new Covid laws making jabs compulsory for health workers and demanding vaccine passports for bars and restaurants.

Hundreds of cafe owners, hospital workers and parents, some chanting 'Liberty! Liberty!', took to the French capital on Bastille Day to rebel against President Macron's controversial plans that were introduced this week to tackle the nation's surging coronavirus cases.

Large crowds were confronted by riot police, who fired tear gas to try to disperse the advancing group. Protesters and police kicked the tear gas canisters at each other, and cyclists calmly weaved through the crowd.

Some of those protesting set a mechanical digger alight and flipped rubbish containers, while others wore badges that refuted the new measures: 'No to health passes'.

In April, President Macron promised vaccine passports would 'never be used to divide' the French. But, by mid-July, the French premier is demanding concerts, hospitality venues and more to check for proof of vaccination status or a negative PCR test in a bid to boost the nation's vaccination rates.

Restrictions will expand by August, meaning those wanting a beer in a bar, families going out for dinner, public transport passengers and care home visitors will all require proof of a negative test or vaccine.

On September 15, it will become mandatory for healthcare workers and carers to receive a coronavirus vaccine - with threats of termination of employment should they refuse.
 
Majanga mara nyingi ni out of control ya kawaida,watu zaidi ya 100 kufariki sio mchezo.

Kuna janga la moto lilitokea Australia miezi kadhaa imepita serikali ilisema juhudi zao zitategemea kudra za Mungu maana upepo ulikuwa una accelerate moto hadi sio vizuri.

Ila tuchukue tahadhari zinazowezekana kupunguza maafa,hata kwenye gari kufunga mkanda hakuzuii ajali bali kunapunguza maafa zaidi
 
Utofauti wao na sisi huko wakipewa michango inawafikia na husikii maneno ya kuchoma moyo kama yetu.

Anatokea mwendewazimu anakuambia yeye si Mungu na hakuleta hayo majanga huku hela anazielekeza kwenye tumbo lake.
Hawa yakiisha hawachukui muda kurekibisha sisi mpaka wajisikie na kodi kibao tunalipa inakuwa kama tunalazimisha kuhudumiwa.
 
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu.

Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani?

Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.

Sasa wewe unalinganisha mbingu na ardhi?ujerumani ni nchi tajiri kuliko zote ulaya,ina Miundombinu ya hari ya juu,hayo majanga ya mafuriko yangetokea bongo,nchi tunazika,hata hao waathirika watapata msaada mkubwa kutoka serikalini,hatuwezi kuacha kuzilaumu serikali za Afrika kwa sababu,tetemeko lilitokea kagera,serikali badala ya kusaidia wananchi,ikapola pesa ya rambirambi,vita ya kagera iltokea miaka zaidi ya 40 ilyopita,lakini madhara yake yapo mpaka leo,
 
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu.

Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani?

Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.

Tayari watu wapatao 133 wameshakufa huko ujerumani..
 
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu.

Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani?

Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.

Ndiyo maana hata ni vigumu kupata bima dhidi ya majanga ya asili, watanzania hutafuta wapi serikali ilaumiwe
 
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu.

Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani?

Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.

nimetamani hayo magari tu, mapyaaa afu yamechukuliwa na maji, hayo yote yatakuwa scrapers tu. natamani ningeyachukua nije niuze hapa bongo hahahaha. hivi biashara ya spareparts and 2nd hand vehicles from Germany ipoje, au tra watakukamua macho kulingana na gharama ya magari ya ulaya?
 
Majanga ya ulaya sio ya kawaida Mungu kawapimia majanga yao sawa na uwezo wao.
 
Back
Top Bottom