McLaren JF-Expert Member Joined Feb 19, 2025 Posts 1,170 Reaction score 3,743 May 31, 2025 #1 Wakuu, Wataalamu wa mambo huyu jamaa hapa atakuwa ameokota kama kiasi gani hivi? Naombeni pia kueleweshwa, hii TAKUKURU hawaweizi kuiona kama rushwa? Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi? Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Wataalamu wa mambo huyu jamaa hapa atakuwa ameokota kama kiasi gani hivi? Naombeni pia kueleweshwa, hii TAKUKURU hawaweizi kuiona kama rushwa? Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi? Your browser is not able to display this video.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 May 31, 2025 #2 Shuguli nchi inapenda mashuguli sana ,shuguli haziishi Ova
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 May 31, 2025 #3 Kibunda Kibunda Kibunda Kusifu Popote
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,885 Reaction score 18,636 May 31, 2025 #4 Nimeona hapo Tuzo maalumu ya heshima kwa....
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 May 31, 2025 #5 Akagawane na wenzake sasa Ova
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 May 31, 2025 #6 Wala nchi na watutekao wanapokuwa kwenye nyakati za furaha ila kama aishivyo bwana Mungu wa majeshi huzuni kilio na kusaga meno vyaja juu yenu.
Wala nchi na watutekao wanapokuwa kwenye nyakati za furaha ila kama aishivyo bwana Mungu wa majeshi huzuni kilio na kusaga meno vyaja juu yenu.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 May 31, 2025 #7 Mabango na picha kote nchini bado hayatoshi??!!