PreGE2025 Video: Kiongozi wa Kwaya ya Bunge alivyopokea kibunda kutoka kwa Rais Samia, Spika Tulia, Rais Mwinyi na Dotto Biteko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Wataalamu wa mambo huyu jamaa hapa atakuwa ameokota kama kiasi gani hivi?

Naombeni pia kueleweshwa, hii TAKUKURU hawaweizi kuiona kama rushwa? Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi?


Your browser is not able to display this video.
 
Shuguli nchi inapenda mashuguli sana ,shuguli haziishi

Ova
 
Kibunda Kibunda Kibunda
Kusifu Popote
 
Akagawane na wenzake sasa

Ova
 
Wala nchi na watutekao wanapokuwa kwenye nyakati za furaha ila kama aishivyo bwana Mungu wa majeshi huzuni kilio na kusaga meno vyaja juu yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…