Video: Kiongozi wa Wagner asema Warusi wamekua kama vinyago, kutishia tishia nyuklia

Video: Kiongozi wa Wagner asema Warusi wamekua kama vinyago, kutishia tishia nyuklia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Aikosoa serikali kutishia tishia matumizi ya nyuklia kwenye kila shambulizi wanalopokea la drones, asema wamekua kama vinyago "clowns"....
Hehehe huyu jamaa akiendelea hivi Putin atamla, japo hawezi maana Putin anatumia watu wake kama mizoga kule Ukraine.

=====================
"We look like clowns who threaten with a nuclear bomb in response to a children's drone - the leader of the Wagner PMC Prigozhin about the UAV attack on the Kremlin. “As a radical person, I say that nuclear weapons in response to a drone, of course, is out of the question.”"



 
Ulaya wanaionea sana nchi maskini ya Urusi.
Dunia inaenda Kwa mwendokasi.
Screenshot_20230509-151355.jpg
 
Back
Top Bottom