Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

Walimuita masud muhuni
Wakati wao hata toothpick hawajawahi tengeneza
Daah badala ya ku mpromote wampeleke hata pale nyumbu wanamkatisha tamaaa kumuita muhuni

Sio sawa hata kidogo inafanya vijana wanakosa morali wa ubunifu
 
Sisi tuna kila sababu za kushawishi Toyota kufungua kiwanda hapa kutokana na namba za magari tuliyonayo na tunayoagiza, sijajua tunakwama wapi.
 
Serikali itanunua kwa kuanza
Serikali hainunui kila mwaka magari yaweza nunua mapya mwaka huu ikaja kununus mengine baada ya miaka 10 na haiweki order kubwa sana sababu mengine yanakuwa bado mazima

Kiwanda huhitaji order nyingi za mara kwa mara
 
Sisi tuna kila sababu za kushawishi Toyota kufungua kiwanda hapa kutokana na namba za magari tuliyonayo na tunayoagiza, sijajua tunakwama wapi.
IST brand new sio USD 800 elewa hilo kwanza! Purchasing power 0!
 
Mzee Mengi amefariki na ndoto yake, nakumbuka alii publicise kabisa hii habari ya kutaka kufungua kiwanda cha magari.

Bahati mbaya amefariki huku ndoto yake ikiwa haijakamilika
 
Mzee Mengi amefariki na ndoto yake, nakumbuka alii publicise kabisa hii habari ya kutaka kufungua kiwanda cha magari.

Bahati mbaya amefarikia huku ndoto yake ikiwa haijakamilika
Tuanze na viwanda vidogo vidogo toothpick, pamba stick, leather products, etc. then boda, bajaji, etc. Viwanda vya magari mahali ambapo bei ya maharage, sukari, unga, mafuta ya kula,vetc. ni issue haiingii akilini.
 
Mkuu sio kwamba viwanda vyote hivyo hatuna, la asha!

Ukitembelea Mkoa wa Kimkakati wa Pwani kwa maana Mkuranga, Chalinze, Kibaha n.k utaona viwanda tulivyonavyo.

Nadhani muhimu tuboreshe Sera zetu ili kuvutia watu wengi kuvutiwa kuanzisha viwanda vingi zaidi.

Kama tunaviwanda vya Kiberiti pale kwa Mo, najua kiwanda cha Toothpick kipo pia labda kama kiu yako ni kuona kiwanda hiko kinamilikiwa na Serikali jambo ambalo kwa sasa halipo.
 
Back
Top Bottom