TFF wasimlazie damu huyu wangempiga jela miezi 6 mpaka Ligi inaisha na hao GSM wangemtupia Virago. Tanzania siyo Burundi kulikojaa Vurugu na Fujo za kindezi namna hiyo.Cedric Kaze kayakanyaga Kwa TFF...
Lile tukio la Yanga dhidi ya Azam kumshambulia Nkongo lilikuwa la aibu kubwa sana. Waamuzi wetu nao ovyoo yule alimpiga mwenzao kiasi kile Bw. Mdogo Stephen Mwasika naye siku hizi ni Mwamuzi. Namuombea sana siku yeye pia akutane na kichapo cha aina ile ile ajue Dunia ni duara.Refa aliumudu vizuri mchezo wa jana vizuri sana, kwa hili tff naomba huyu kocha na baadhi ya wachezaji wa yanga walihusika wachukuliwe hatua kali hakuna timu iliyojuu ya sheria, hawa yanga ndio walimpiga refa kwenye mechi yao na azam miaka ya nyuma
Hii yanga ukiangalia wanatumia maguvu sana kucheza ili wapate matokeo sasa wamekutana na wezao wanatumia maguvu vilevile wanapokosa wanachokitarajia wanahamishia kwa refa, hii ni aibu kwa timu yenye jina kubwa kufanya vitu vya ligi daraja la piliLile tukio la Yanga dhidi ya Azam kumshambulia Nkongo lilikuwa la aibu kubwa sana. Waamuzi wetu nao ovyoo yule alimpiga mwenzao kiasi kile Bw. Mdogo Stephen Mwasika naye siku hizi ni Mwamuzi. Namuombea sana siku yeye pia akutane na kichapo cha aina ile ile ajue Dunia ni duara.
TFF Ndio inaelea hii Kansa, fungia wapuuzi wote miezi 6 wengine ban ya Maisha watanyookaSahihi kabisa,View attachment 1702340
sasa wakifungwa si watachimbua uwanja mzimaPia Kaseke ni fala sana anajiona ana uchungu sana. Mara atoe mataulo ya magoli kipa mara akague nguzo, ni mchezaji asiyejitambua.
Siku wakifungwa wanaweza kuuasasa wakifungwa si watachimbua uwanja mzima
Kitendo cha kuzozana na refa hakikubaliki kwenye soka, lakini kusema refa wa Jana alimudu mchezo ni kuikosea heshima kada ya waamuzi duniani.Refa aliumudu vizuri mchezo wa jana vizuri sana, kwa hili tff naomba huyu kocha na baadhi ya wachezaji wa yanga walihusika wachukuliwe hatua kali hakuna timu iliyojuu ya sheria, hawa yanga ndio walimpiga refa kwenye mechi yao na azam miaka ya nyuma