Video: Kocha wa Yanga na Wachezaji wa yanga walivyomfanyia fujo Mwamuzi baada ya mchezo

Video: Kocha wa Yanga na Wachezaji wa yanga walivyomfanyia fujo Mwamuzi baada ya mchezo

Na Kwa mechi ilivyokuwa, ukifuatilia Kwa makini kabisa, maamuzi ya refree yalikuwa very fair, magoli yote ni halali na wameonyesha umakini wa juu kabisa katika maamuzi.

Wala hawakustahili kuzongwa kama walivyozongwa na wachezaji wa timu zote mbili. Tena kama angekuwa refa mwingine Kadi nyingi Sana zingetembea. Binafsi nawapongeza waamuzi Kwa weredi mkubwa waliouonyesha.

Yanga ni kama walikuwa na matokeo tiyari Jambo ambalo sio la kiuwana mchezo.
 
Kiukweli Kwenye tukio la jana, Cedric Kaze hakufanya fujo kwa marefa isipokuwa alienda kupeana mkono na marefa, ishara ya fair play,na marefarii walilikubali hilo...
Kitendo cha Kocha Cedric kwenda kutoa mkono kwenye taharuki kama ili inaweza kuhesabiwa kama kejeli. Kama umeangalia vizuri baada ya filimbi ya mwisho Sarpong alimfata refa akawa anampigia makofi sasa hiyo unaweza kutafsiri kuwa ni Far Flay? Aliyeonekana ana anaepusha rabsha ni Lamine Moro, Faisal na Kibwana lakini wengine wamezua rabsha sana akiwemo Mukoko.

Kama haitoshi akizungumza baada ya mchezo na Azam Sports Kocha Cedric Kaze amesema;

"Hatuwezi kuwa na marefa wa namna hii, hakuna ambaye ameona penalty ila ni yeye tu

Malengo yetu ni ubingwa japo kuna watu wanataka kutukatisha tamaa, lakini hatukati tamaa"

Kwa kauli hiyo maana yake anahujumiwa..Je ni kweli? Hapo sasa utapima mwenyewe hiyo kauli na Far Flay...!
 
Mbona ile ni penati halali...
Yaaani Mwamuzi alichezesha Vizuri mnooo, halafu mbaya zaidi tayari alishawapa hao hao Yanga goli ambalo waamuzi kama KAMBUZI kamwe asingetoa lile goli la Yanga maana haikuwa Clear kama limevuka mstari. Waamuzi wote unganeni kuwanyooosha Vyura, walimeni kadi za kutosha, Offside za Kutosha mpaka madishi yao yakae sawa.
 
Na Kwa mechi ilivyokuwa, ukifuatilia Kwa makini kabisa, maamuzi ya refree yalikuwa very fair, magoli yote ni halali na wameonyesha umakini wa juu kabisa katika maamuzi...
Hapa tunasubiri tamko la Mwenyekiti wa Chama cha Waamuzi kutangaza mgogoro na Yanga na hawako tayari kuchezesha mechi za Utopolo mpaka pale watakathibitishiwa Usalama wao.
 
Kitendo cha Kocha Cedric kwenda kutoa mkono kwenye taharuki kama ili inaweza kuhesabiwa kama kejeli. Kama umeangalia vizuri baada ya filimbi ya mwisho Sarpong alimfata refa akawa anampigia makofi sasa hiyo unaweza kutafsiri kuwa ni Far Flay?...

Ishu ya Lamine ni pale kwenye maamuzi ya penati, alireact ndivyo sivyo dhidi ya refa.

Ishu ya Sarpong ilikuwa ya kudhihaki, kwa hili anastahili adhabu.

Kwa kauli ya Cedric Kaze haikuwa ya kiungwana, nadhani hata TFF wana kipengele cha kuwaadhibu makocha kwa kauli zao dhidi ya marefa.
 
TFF wasimlazie damu huyu m..puuuzi wangempiga jela miezi 6 mpaka Ligi inaisha na hao GSM wangemtupia Virago. Tanzania siyo Burundi kulikojaaa Vurugu na Fujo za kindezi namna hiyo.
hapo kuna vurugu gani sijaona hata refa kuguswa
 
Na Kwa mechi ilivyokuwa, ukifuatilia Kwa makini kabisa, maamuzi ya refree yalikuwa very fair, magoli yote ni halali na wameonyesha umakini wa juu kabisa katika maamuzi....
hahahaha mwamuzi alikuwa very fair hahahahahahaha
 
Yaaani Mwamuzi alichezesha Vizuri mnooo, halafu mbaya zaidi tayari alishawapa hao hao Yanga goli ambalo waamuzi kama KAMBUZI kamwe asingetoa lile goli la Yanga maana haikuwa Clear kama limevuka mstari. Waamuzi wote unganeni kuwanyooosha Vyura, walimeni kadi za kutosha, Offside za Kutosha mpaka madishi yao yakae sawa.
kachezesha vizuri mnooooooooooooooooooo alafu katoa goli ambalo sio clear sasa inakuwaje kachezesha vzr mno hahahahah punguza mahaba mwamuzi aliboronga
 
Refa aliumudu vizuri mchezo wa jana vizuri sana, kwa hili tff naomba huyu kocha na baadhi ya wachezaji wa yanga walihusika wachukuliwe hatua kali hakuna timu iliyojuu ya sheria, hawa yanga ndio walimpiga refa kwenye mechi yao na azam miaka ya nyuma
Ulisimuliwa au uliona?
 
Na Kwa mechi ilivyokuwa, ukifuatilia Kwa makini kabisa, maamuzi ya refree yalikuwa very fair, magoli yote ni halali na wameonyesha umakini wa juu kabisa katika maamuzi.

Wala hawakustahili kuzongwa kama walivyozongwa na wachezaji wa timu zote mbili. Tena kama angekuwa refa mwingine Kadi nyingi Sana zingetembea. Binafsi nawapongeza waamuzi Kwa weredi mkubwa waliouonyesha.

Yanga ni kama walikuwa na matokeo tiyari Jambo ambalo sio la kiuwana mchezo.
Referee game ilimshinda, sijui ni kutojiamini au ni pressure no one knows
 
Yaaani Mwamuzi alichezesha Vizuri mnooo, halafu mbaya zaidi tayari alishawapa hao hao Yanga goli ambalo waamuzi kama KAMBUZI kamwe asingetoa lile goli la Yanga maana haikuwa Clear kama limevuka mstari. Waamuzi wote unganeni kuwanyooosha Vyura, walimeni kadi za kutosha, Offside za Kutosha mpaka madishi yao yakae sawa.
Umeongea kwa hisia kali, Pole Sana
 
Back
Top Bottom