Duuu mkuu upo, huyu Tiboroha ndo alitakiwa awe Mwenyekiti pale Yanga. Nakumbuka kipindi akiwa katibu mkuu.Sahihi kabisa,View attachment 1702340
Kitendo cha Kocha Cedric kwenda kutoa mkono kwenye taharuki kama ili inaweza kuhesabiwa kama kejeli. Kama umeangalia vizuri baada ya filimbi ya mwisho Sarpong alimfata refa akawa anampigia makofi sasa hiyo unaweza kutafsiri kuwa ni Far Flay? Aliyeonekana ana anaepusha rabsha ni Lamine Moro, Faisal na Kibwana lakini wengine wamezua rabsha sana akiwemo Mukoko.Kiukweli Kwenye tukio la jana, Cedric Kaze hakufanya fujo kwa marefa isipokuwa alienda kupeana mkono na marefa, ishara ya fair play,na marefarii walilikubali hilo...
Yaaani Mwamuzi alichezesha Vizuri mnooo, halafu mbaya zaidi tayari alishawapa hao hao Yanga goli ambalo waamuzi kama KAMBUZI kamwe asingetoa lile goli la Yanga maana haikuwa Clear kama limevuka mstari. Waamuzi wote unganeni kuwanyooosha Vyura, walimeni kadi za kutosha, Offside za Kutosha mpaka madishi yao yakae sawa.Mbona ile ni penati halali...
[emoji23][emoji23] mkuu unataka tuanze kuokota miili ya Wana utopolo huku mitaani ..Yanga ishushwe daraja.....wapuuzi sana hawa
Hapa tunasubiri tamko la Mwenyekiti wa Chama cha Waamuzi kutangaza mgogoro na Yanga na hawako tayari kuchezesha mechi za Utopolo mpaka pale watakathibitishiwa Usalama wao.Na Kwa mechi ilivyokuwa, ukifuatilia Kwa makini kabisa, maamuzi ya refree yalikuwa very fair, magoli yote ni halali na wameonyesha umakini wa juu kabisa katika maamuzi...
Labda alikuwa Barcelona ya Buhigwe Kigoma🤣🤣🤣Alafu mtu anasema kaze alikuwa Barcelona [emoji16]
Ile Siyo Team, Ni Genge La Wahuni WachacheUto kama uto
Kitendo cha Kocha Cedric kwenda kutoa mkono kwenye taharuki kama ili inaweza kuhesabiwa kama kejeli. Kama umeangalia vizuri baada ya filimbi ya mwisho Sarpong alimfata refa akawa anampigia makofi sasa hiyo unaweza kutafsiri kuwa ni Far Flay?...
hapo kuna vurugu gani sijaona hata refa kuguswaTFF wasimlazie damu huyu m..puuuzi wangempiga jela miezi 6 mpaka Ligi inaisha na hao GSM wangemtupia Virago. Tanzania siyo Burundi kulikojaaa Vurugu na Fujo za kindezi namna hiyo.
hahahaha mwamuzi alikuwa very fair hahahahahahahaNa Kwa mechi ilivyokuwa, ukifuatilia Kwa makini kabisa, maamuzi ya refree yalikuwa very fair, magoli yote ni halali na wameonyesha umakini wa juu kabisa katika maamuzi....
We kweli fisiNi fedhea sana, ni aibu na haipashwi kufumbiwa Macho kwa hili la Kaze, Kaseke na Wapuuzi wengine wote wa Utopolo wanaolinajisi soka la Nchi yetu. TFF fungieni hawa Mb.wakoko wote akili zikae sawa.
View attachment 1702181
kachezesha vizuri mnooooooooooooooooooo alafu katoa goli ambalo sio clear sasa inakuwaje kachezesha vzr mno hahahahah punguza mahaba mwamuzi aliborongaYaaani Mwamuzi alichezesha Vizuri mnooo, halafu mbaya zaidi tayari alishawapa hao hao Yanga goli ambalo waamuzi kama KAMBUZI kamwe asingetoa lile goli la Yanga maana haikuwa Clear kama limevuka mstari. Waamuzi wote unganeni kuwanyooosha Vyura, walimeni kadi za kutosha, Offside za Kutosha mpaka madishi yao yakae sawa.
Ulisimuliwa au uliona?Refa aliumudu vizuri mchezo wa jana vizuri sana, kwa hili tff naomba huyu kocha na baadhi ya wachezaji wa yanga walihusika wachukuliwe hatua kali hakuna timu iliyojuu ya sheria, hawa yanga ndio walimpiga refa kwenye mechi yao na azam miaka ya nyuma
Referee game ilimshinda, sijui ni kutojiamini au ni pressure no one knowsNa Kwa mechi ilivyokuwa, ukifuatilia Kwa makini kabisa, maamuzi ya refree yalikuwa very fair, magoli yote ni halali na wameonyesha umakini wa juu kabisa katika maamuzi.
Wala hawakustahili kuzongwa kama walivyozongwa na wachezaji wa timu zote mbili. Tena kama angekuwa refa mwingine Kadi nyingi Sana zingetembea. Binafsi nawapongeza waamuzi Kwa weredi mkubwa waliouonyesha.
Yanga ni kama walikuwa na matokeo tiyari Jambo ambalo sio la kiuwana mchezo.
Umeongea kwa hisia kali, Pole SanaYaaani Mwamuzi alichezesha Vizuri mnooo, halafu mbaya zaidi tayari alishawapa hao hao Yanga goli ambalo waamuzi kama KAMBUZI kamwe asingetoa lile goli la Yanga maana haikuwa Clear kama limevuka mstari. Waamuzi wote unganeni kuwanyooosha Vyura, walimeni kadi za kutosha, Offside za Kutosha mpaka madishi yao yakae sawa.