Video: Kocha wa Yanga na Wachezaji wa yanga walivyomfanyia fujo Mwamuzi baada ya mchezo

Yaan Kaze pale ndio mwisho wa mbinu zake .....sasa ajiandae tu mkong'oto iyo march 8
Yanga wana pendana kulalamika kwa kila maamuzi yatakayo chukuliwa juu yao yaan wana jiona wao ni watu wa IQ kubwa sanaa kumbe ni mazwazwa
Tazama wana mmadeni ya wachezaji wao wanzamani, msemaji wao hawakumlipia faini on time
Sasa huyu kaze akipigwa rungu la TFF si wana yanga wote wata harisha
 
Hili wangefanya Simba kuna yule Mwandishi mjinga Dada Kitenge utopolo lialia angeandaa kipinfi maalumu kwa ajili ya kuishambulia simba tu.

Anyway Utopolo waache kuokota Wahuni na kuwapa majukumu ya kitaalamu.
 
Nilichokiona kwa Yanga wameweka matumaini makubwa sana Kuwa wao hawawezi kupoteza mchezo wowote kitu ambacho ni kibaya sana kwenye mpira hapo wametoka sare je siku wakifungwa si ndio Itakuwa balaa
Kiongozi Ngulukizi siku hyo watamuua mwamuzi chukulia ile penati ya jana ilikuwa clear kabisa halafu Kaze ambae tunaaminishwa ametokea Academy ya baselona anasema sio penalty na kumulaum refa naungana naww siku utopolo wakifungwa jeshi liwe karib
 
Kitendo cha kuzozana na refa hakikubaliki kwenye soka, lakini kusema refa wa Jana alimudu mchezo ni kuikosea heshima kada ya waamuzi duniani.
Sasa Refarii alikosea wapi kwa mechi ya jana uto bhana hamkosagi sababu
 
Yule mrundi alidhani hii ligi ni rahisi kama kunyoa Vu.. Z...i amekutana na kisiki na ajue mzunguko wa kwanza timu nyingi zilishawazoea miaka ya nyuma kuwa yakawaida msimu huu wamekamia ndo mana mzunguko umeisha wakiwa juu ila kwa duru hili lapili timu zimeshamsoma akiweka mguu wa kichwa wenzake wanaweka wa shingo lazima ataonyesha mzigo tu
 
Kaseke kwa sasa hata mtoto mdogo anajua kuwa ni mshirikina. Anaharibu careeer yake kwa vitu vya karne ya 15 shame on him
Anajua kila timu inabeba mahilizi kama yeye yule jamaa mjinga sijawah ona
 
dah yaani unaona kabisa yanga wan stress
Stress mbaya sana, Embu angalia VIDEO ya Huyu Shabiki wa Utopolo mmojawapo ya Waliofanyafujo anavyobwabwaja ujinga.
 

Attachments

  • VID-20210215-WA0001.mp4
    6.7 MB

Tuache kuendeshwa kwa hisia. Tukio liko wazi tu kuwa Cedric hakufanya fujo yeyote pale zaidi ya kwenda kutoa mkono. Sasa hiyo ya ishara ya kejeli ni imani na tasfiri zako lakini hakuna sheria inayotoa hukumu kwa kufuata imani bali nini kimefanyika kinyume na sheria. Mtoa mada pamoja na wewe umeonesha chuki zenu za wazi wazi dhidi ya Cedric. Eti mtu anasema GSM wamfungashe virago ukimuuliza je umeona Cedric karusha ngumi au katukana refa? Hana majibu.

Kauli iliyotelewa kuwa malengo yetu yapo palepale ya kuchukua ubingwa japo kuna watu wanataka kutukatisha tamaa. Haliwezi kuwa moja moja kuwa ni hoja kwasababu kukatishwa tamaa kupo hata kabla ya mechi ya Mbeyq city ya juzi. Mfano hata mashabiki wa timu pinzani hutoa kauli kuwa Yanga hawachukui kombe lolote msimu huu. Hiyo yote inaingia kwenye kundi la watu wanaowakatisha Yanga tamaa.

Upande wa kuliongelea kuwa ni penati ama lah, yeye pamoja na waliopo uwanjani wana nafasi moja tu ya kushuhudia tukio wakati sisi mashabiki tunaangalia zaidi ya mara moja kujiridhisha. Hivyo ameongea tu vile pengine hakuona tukio kwa ufasaha. Hata waamuzi wa mpira wa miguu huwa wanashindwa kutoa maamuzi yaliyo sahihi kwa kutokana na kutoona tukio kwa ufasaha. Tukio likikupita limekupita.
Penati ya Mbeya city ilikuwa ni ya halali na tumeona halali kwavile sisi mashabiki tumepata nafasi ya kuangalia mara mbili mbili kupitia vituo vya luninga.
 
Apigwe rungu kwa kosa gani alilofanya uliloliona wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…