Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha unawatia aibu wakenya wenzio kwa Pumba zako br .Mimi mbona nipo siku zote, sema huwa nawaacha kwa masaa machache mniquote kabisa kisa narudi na kuwajibu nyote kwa mpigo mmoja, hamnipi tabu, pia kule Quora napelekeshana na Warusi balaa, halafu siku hizi naona na Waarabu Quora wameingia kwenye propaganda za Urusi, tunabishana nao sana na hata waatrabu wa nyie hapo Bongo.
Sasa kama taifa TEULE tusisemeComents zinesema ni propaganda ni uongo mtupu, sasa habari hii igeuke iwe kombora la Ukraine limegeuka na kuwarudia wenyewe ,hapo utaona coments kama , Russia ni Taifa Teule.
Nimewaitikia MKUU@Bwana Utam wanakuita hapa[emoji1787]
Ha ha unawatia aibu wakenya wenzio kwa Pumba zako br .
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Waarabu wamechoka kumlamba miguu US na dada zakeMimi mbona nipo siku zote, sema huwa nawaacha kwa masaa machache mniquote kabisa kisa narudi na kuwajibu nyote kwa mpigo mmoja, hamnipi tabu, pia kule Quora napelekeshana na Warusi balaa, halafu siku hizi naona na Waarabu Quora wameingia kwenye propaganda za Urusi, tunabishana nao sana na hata waatrabu wa nyie hapo Bongo.
Urusi ni imara kuliko US na watoto wake wote wa ulaya, ndio maana hata akipiga hospital hakuna mbuzi anae weza kumpiga, sasa angefanya Assad ungeonaTatizo hawana pakwenda maana Urusi waliyekua wanamtegemea ndiye huyu tunaona alivyo dhaifu.
🤔🤔🤔 Unajibu nini tena bro ubao 3 kwa bila na dakika za lala salama, be a good boy 2kukumbuke kwenye utawala wetu ZZZ once ol these ar ovaMimi mbona nipo siku zote, sema huwa nawaacha kwa masaa machache mniquote kabisa kisa narudi na kuwajibu nyote kwa mpigo mmoja, hamnipi tabu, pia kule Quora napelekeshana na Warusi balaa, halafu siku hizi naona na Waarabu Quora wameingia kwenye propaganda za Urusi, tunabishana nao sana na hata waatrabu wa nyie hapo Bongo.