Video: Kumbe mkulima aliyekamata ndege amewahi kukamata meli ya Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Waziri wa Tanzania amehojiwa na kukiri kwamba mkulima aliyekamata ndege yao pia aliwahi kukamata meli ya Tanzania, yaani hili deni amehangaika nalo sana, sijui kwanini Wabongo wanamdhulumu hivi.

Ndo ujue kama wabongo wasomi kila sekta ingekuo sio wasomi tungeogopa mahakama
Waziri wa Tanzania amehojiwa na kukiri kwamba mkulima aliyekamata ndege yao pia aliwahi kukamata meli ya Tanzania, yaani hili deni amehangaika nalo sana, sijui kwanini Wabongo wanamdhulumu hivi.

Waziri wa Tanzania amehojiwa na kukiri kwamba mkulima aliyekamata ndege yao pia aliwahi kukamata meli ya Tanzania, yaani hili deni amehangaika nalo sana, sijui kwanini Wabongo wanamdhulumu hivi.

Haifunguki
Screenshot_20190905-063941.jpeg
 
Waziri wa Tanzania amehojiwa na kukiri kwamba mkulima aliyekamata ndege yao pia aliwahi kukamata meli ya Tanzania, yaani hili deni amehangaika nalo sana, sijui kwanini Wabongo wanamdhulumu hivi.

This is funny as hell kutoka kwa taifa la "tumefanya na pesa zetu za ndani"
That proverbial lie by Bongolalas inaonyesha huwa hawana pesa hata leo nimeona credit rating ya Tz imeshushwa to B1 negative .Kenya has never had any of its assets seized for debt.
 
Vipi kuhusu counties 13 zinazoteseka na njaa kunyaland,
"tuna uchumi mkubwa EA" [emoji23][emoji23][emoji23]
This is funny

Back
Top Bottom