PreGE2025 Video: Kuna ajenda gani inaendelea kwa hawa Waarabu wa Oman wenye mapenzi ya dhati kwa Wasukuma?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini.

Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa kihistoria kati ya makabila yetu na Waarabu?

Kwanini hizo “historia” ziibuke wakati huu ambao Waarabu hao hao wanawekeza kwa kasi kwenye ardhi, biashara, na taasisi zetu? Hili si jambo la bahati mbaya.

Kuna ajenda inatengenezwa hapa?

View attachment 3377719
Hao Waoman si ndo wale waliouziwa uwanja wa ndege wa KIA?
 
Wakuu,

Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini.

Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa kihistoria kati ya makabila yetu na Waarabu?

Kwanini hizo “historia” ziibuke wakati huu ambao Waarabu hao hao wanawekeza kwa kasi kwenye ardhi, biashara, na taasisi zetu? Hili si jambo la bahati mbaya.

Kuna ajenda inatengenezwa hapa?

View attachment 3377719
Bulabo ipo chini ya kanisa katoliki wasukuma na wazungu . Wenye tamaasha wameingia mitini
 
Shinyanga maeneo ya Maganzo kuna waarabu wasukuma kibao wengine hawajui hata kiarabu neno hata moja wanajua kisukuma tu na wanavaa kisukuma na wanachunga mifugo wako miaka mingi mamia ya miaka Tanzania asili yao oman

Mleta mada huna ufahamu wa nchi yako.Kutwa kushindia hoja za tonetone na no reform no election. Ufahamu wa nchi yako uko zero
 
Wakuu,

Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini.

Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa kihistoria kati ya makabila yetu na Waarabu?

Kwanini hizo “historia” ziibuke wakati huu ambao Waarabu hao hao wanawekeza kwa kasi kwenye ardhi, biashara, na taasisi zetu? Hili si jambo la bahati mbaya.

Kuna ajenda inatengenezwa hapa?

View attachment 3377719
Hao kuna Poli kule Maswa wanapewa, ngoja uchaguzi uishe, ba pia walishe pewa poli la Simanjiro.

Ni wajomba zake na Mama Abdul
 
Sisi watu wa zanzibari tunawaita waarabu wa bara. Wapo nzega,tabora na shinyanga.
 
Tena wengi mno familia maarufu ni kama hao akina bilionea Rostam Aziz mwarabu wa Nzega huyo msukuma mwingine
 
Sisi watu wa zanzibari tunawaita waarabu wa bara. Wapo nzega,tabora na shinyanga.
Nchi kuna watu wa kabila zingine ambao ni wa makabila husika lakini sio wa nje mfano mhindi tajiri Jeetu Patel ni mkurya. .Anaongea kikurya kuliko wakurya wengi .Ukoo wake kakulia ukuryani India hata hakujui kakujulia tu ukubwani
 
Wakuu,

Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini.

Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa kihistoria kati ya makabila yetu na Waarabu?

Kwanini hizo “historia” ziibuke wakati huu ambao Waarabu hao hao wanawekeza kwa kasi kwenye ardhi, biashara, na taasisi zetu? Hili si jambo la bahati mbaya.

Kuna ajenda inatengenezwa hapa?

View attachment 3377719
ERoni njoo uone ndugu zetu wa damu kutoka oman 😁
 
Ila watu mnanongwa nyie! Kwani mbona ametambulisha na warafiki zao wengine kutoka Sweden mbona hamvalii njuga?
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Wakuu,

Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini.

Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa kihistoria kati ya makabila yetu na Waarabu?

Kwanini hizo “historia” ziibuke wakati huu ambao Waarabu hao hao wanawekeza kwa kasi kwenye ardhi, biashara, na taasisi zetu? Hili si jambo la bahati mbaya.

Kuna ajenda inatengenezwa hapa?

View attachment 3377719

View: https://www.facebook.com/share/v/1BtcRZa2j7/
 
Bulabo ipo chini ya kanisa katoliki wasukuma na wazungu . Wenye tamaasha wameingia mitini
🇮🇱 Yes bulabo ni sherehe ya kisukuma iliyochanganywa na sherehe ya kanisa katoliki duniani SIKU KUU YA EKARISTI TAKATIFU. HIii kikanisa ni siku ya mlo ,msosi au bufeee, ndio siku Yesu alipomega mkate na kuwagawia wanafunzi wake wale

🇮🇱 Kadhalika kisukuma Bugaboo lilimaanisha sherehe ya baraza la wazee au jando la wanaume hufanyika baada ya mavuno ambapo sherehe za pombe na msosi vikibatana na ulaji wa miwa hufanyika

🇮🇱 Kwa kuwa kanisa katoliki na sherehe zilizoambata na Milo iliyoshiba mdudu akiwa sehemu ya kitoweo pamoja na ugimbi au pombe vilipata mwitikio mkubwa miongoni mwa jamii za kisukuma na sherehe hiyo ikawa Moja. Hivyo watasherekea kwa misosi na miwa na baadaye kesho jumapili watafanya ibada ya ekaristi takatifu kwa kuandamana majini na ekaristi

🇮🇱 Kanisa katoliki ndio lililokusanya tamaduni za kisukuma na kuanzisha kituo.cha utamaduni ambacho kimekuwa kivutio kikibwa Cha cultural tourism kwa wagenj kutoka nchi mbalimbali duniani kuja kujifunza Mila za kisukuma hasa kutoka nchi za Scandinavia ambao utawakuta kwenye vikundi vya Ngoma vya Bujora na Mwanalyaku wakisakata Bugobogobo na mfano wake ni huyu hapa Manongu,

View: https://youtu.be/Wxp0cDhPtIo?si=AQ8xTPUbGcR3ePZT
🇮🇱 Tamasha la bulabo la Leo lilikuwa na sura ya kitaifa na kimataifa kwani walimekuja wagenj wengi ambao waliwahi kuishi usukumani ama kwa kuzaliwa au kutembelea na kujifunza Mila na lugha ya kisukuma hufuatilia Kila kinachoendelea na sherehe kama ya Leo ndio wanapata kumbukumbu ya maisha Yao na kuonana na marafiki zao wa utotonj ambao Sasa ni wazee wa kimila

🇮🇱 Wagenj wa kiarabu uliowaona Leo ni sehemu ya wazawa wa Tanzania usukumani ambao baba zao walikuwa ni wafanya biashara wa pamba na walizaliwa bongo ,wakasoma bongo na baada ya kurudi kwenye asili Yao bado ule usukuma walioishi haujawaisha

🇮🇱 Kadhalika, walikuwepo walikwa machifu kutoka Africa ya kusini na kuleta sura ya ukimataifa

✈️ Hongereni Sana Mwaluko kabudi na mdogo wako Dr. Mapanaa kwa kuipangilia vyema siku hii ya kitamaduni. Naamini Sasa kupitia ninyi vijana wa kigogo ambao utamaduni hauitaji kusomewa mtarejesha heshima ya utamaduni wa nchi ulioharibiwa na dini, mpira wa miguu pamoja na muziki wa bongo flavour

🇹🇿 Naamini Sasa ukija ugeni kutoka nje hatuwapokei tena kwa matarumbeta Bali kikundi Cha utamaduni kilichovaa kitamaduni kama Ile minjemba niliyoiona Jana kwenye TV kutoka tabora kwenye Tamasha la sungu sungu kitaifa au yule manju wa Ngoma ya kikerewe niliyoiona live kwenye sherehe ya bulabo ikiwa na vitoto 3 na manju wa kutishana

🇹🇿 Nategemea Sasa kupitia sherehii hizi mbili za sungusungu na bulabo wizara imepata au kujua kikundi Cha kusindikiza Timu ya taifa tunapokwrnda kucheza nje ni Cha aina gani na kuachana na wasanii wa majini na wavaa suti. Hivi Tanzania ndio ya kuzidiwa vikundi vya ushangiliaji vya kitamaduni na Zaire? Mwisho wa kunukiu Nakala kwa PROF. KABUDI na DR. MAPANAA aliyeweza kuwaimbisha wazungu nyimbo za kigogo
 
Back
Top Bottom