PreGE2025 Video: Kuna ajenda gani inaendelea kwa hawa Waarabu wa Oman wenye mapenzi ya dhati kwa Wasukuma?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waarabu walikuwepo nchi hii kabla mababu zako hawajahamia Tanganyika, acha ubaguzi dunia ni moja fanya mambo yako usiyoyaelewa hayakuhusu yaache.
 
Ndiko kununuliwa kama watumwa wa kisasa huko!
 
Masiasa fulani ya ovyoooooooo ya CCM
 
Hayo mapumbavu yanafikiri hii nchi ilinunuliwagwa na mababu zao kumbe hata wao ni wa kuja tena baada ya waarabu kufika Tanganyika na Zanzibar, mbaguzi ni mbaguzi tu na watu km hao wanakufaga maskini maana kazi yao kuwaza watu wengine, wamejaa husda.
 
Waarabu walikuwepo nchi hii kabla mababu zako hawajahamia Tanganyika, acha ubaguzi dunia ni moja fanya mambo yako usiyoyaelewa hayakuhusu yaache.
Kwa kuwa "dunia ni moja", wewe kesho nenda kajisalimishe utumwani huko Oman!
Hapa waachie waTanzania wanaotaka kujiamria mambo yanayowahusu wao.
 
mswahi hili yake ngoma!
 
Nchi kuna watu wa kabila zingine ambao ni wa makabila husika lakini sio wa nje mfano mhindi tajiri Jeetu Patel ni mkurya. .Anaongea kikurya kuliko wakurya wengi .Ukoo wake kakulia ukuryani India hata hakujui kakujulia tu ukubwani
Nenda India kaongee kihindi kama Mhindi miaka kizazi na kizazi uone kama utaitwa Muhindi. Hindu wala hiruhusiwi asiye hindu kuwa Muhindi, hata ukitaka hata uoe huwezi kuwa. Mo rahisi rahisi!!!!!!!!!!!!!
 
Mwambie aende luhumbo shinyanga, waarabu tele, wasukuma wanagonga tu,hata mtalaka wa manara atokea shinyanga, waarabu walikuwepo kabla ya wazungu
 
Ndio maana Netanyahu ana deal nao
 
Nenda India kaongee kihindi kama Mhindi miaka kizazi na kizazi uone kama utaitwa Muhindi. Hindu wala hiruhusiwi asiye hindu kuwa Muhindi, hata ukitaka hata uoe huwezi kuwa. Mo rahisi rahisi!!!!!!!!!!!!!
Hujui historia ya Tanzania
Makabila yote kasoro wasandawe tu ni makabila ya kuja Tanzania yote yalikuja kutafuta maisha kama hao unaowaitq wahindi na waarabu.

Wewe pia ni mtu wa kuja Tanzania. Nenda kasome historia ya kabila lako .

Wasandawe tu ndio wenye Tanzania yao.
Mtu wa kuja wewe na kikabila chako udijifanye wewe ndie mtanzania sanaa kuliko wengine

Kasome histotia ya kabila yako ilifikaje Tanzania upunguze ujinga kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ