Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Usimfananishe harmonize na vitu vya ajabu
Sijamfananisha mimi, kajifananisha mwenyewe. Mimi nasema tu kitu kilicho wazi.

Kamauna mahaba jipange uwe mke wake wa pembeni, lakini yeye anataka wazungu tu.
 
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
hata yule mzee alivyosema elimu,elimu,elimu alimaanisha sana vijana tunatakiwa tuapate ukombozi wa kifikra kabla ya kupata mafanikio
 
kwa hiyo anampiga dongo bosi wake diamond au ray vanny,
 
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Umeona ule mdomo ulivyo? Sababu ya kusema hovyo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
1, "We are going to emancipate ourselves from mental slavery because whilst others might free the body, none but ourselves can free the mind.”
Marcus Garvey.

2, "Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds."
Robert Nesta Marley (Bob Marley)-Redemption song.

3, "Until the philosophy which hold one race superior and another inferior, is finally and permanently dicredited and abandoned.......
Everything is war. Me say war.
That until the`re no longer 1st and 2nd class citizens of any nation....
Until the colour of man`s skin is of no more significance tha the colour of his eyes, me say war.
That until the basic human rights are equally guaranteed to all without regard to race, me say war!"

Haile Sellasie (Tafari Makonen), later used by Bob Marley in his song War.

Pole Wolper katoto kameshakua saivi..acha karopoke! ila ndo ujifunze kuzoazoa kubaya.
 
Huyo dogo Harmonize bado ni masikini wa nafsi.
 
Kwa maelezo yake anamaanisha kuwa yeye ni nyani anamwomba mungu usiku na mchana huyo mtt asichukue sura yake bali achukue ya mamayake! Shule.. baba! Idiot!
 
Mchiz mweus af anaomba mtoto wa kizungu
Ha ha ha ha ha ha
Baba umepigiwa
Weeeee ongezea ongezea
 
Daa kweli watu tupo tofauti sanaa , Wazungu wengine tunawakimbia , wengine ndio wanaona wameokota Dodo chini ya mbuyu. Ulimbukeni mbaya sanaaa. Kwa uzoefu wangu na hizo rangi. naamini kwamba Wanawake weusi ndio wanawake wenye mvuto na raha sana.
 
Msanii wangu namba 2 Tanzania nzima baada ya MOND,napenda vile unavyojua kuufukuza umaskini kwa hali yoyote,hiyo inaitwa wamependa hawajapenda we ndio ushasema na haibadiliki.
Unajitekenya
 
Alie kutoa mwiba wa mata.ko ukakaa kuweza kutoa wa mguuni muheshimu, dogo anajiona kafika sana haikua na maana kwa mwanaume rijali kuweka post za vijembe kwa demu alie achana nae kapamia demu kisa zungu lisha chakazwa sana ma maniga mpaka wamasai ye anaina mpya ndani ya wcb ukiacha boss wao vanny pia ana akili na muono wa mbali sio huyu makonde maskini jeuri, kapuyanga ki nazi
 
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Shida sana aisee.
 
Back
Top Bottom