Usimfananishe harmonize na vitu vya ajabuHuyo Harmonize na Harmorapa hawana tofauti.
Sijamfananisha mimi, kajifananisha mwenyewe. Mimi nasema tu kitu kilicho wazi.Usimfananishe harmonize na vitu vya ajabu
hata yule mzee alivyosema elimu,elimu,elimu alimaanisha sana vijana tunatakiwa tuapate ukombozi wa kifikra kabla ya kupata mafanikioSaa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Umeona ule mdomo ulivyo? Sababu ya kusema hovyo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Hapo kwenye rangi sidhani.Hata rangi itachanganyikaa,
UnajitekenyaMsanii wangu namba 2 Tanzania nzima baada ya MOND,napenda vile unavyojua kuufukuza umaskini kwa hali yoyote,hiyo inaitwa wamependa hawajapenda we ndio ushasema na haibadiliki.
Shida sana aisee.Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.