Video: Kuna siri gani kwenye ufugaji wa njiwa hasa nchi za kiarabu?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Binafisi nipo interested sana na kilimo na ufugaji sijawahi kujutia.

Kitu kinachoendelea kunishangaza zaidi ni huu ufugaji wa njiwa kwa nchi za kiarabu. Huwa najiuliza hawa jamaa lengo lao ni nini?

Unakuta kundi kubwa la njiwa hadi unashangaa hawa wana milikiwa na mtu mmoja na kwa manufaa gani halafu ajabu zaidi wapo tu mtaani.

Kingine katika kuendelea kufuatilia zaidi huwa naona wanajenga mabanda ya (nymba) za njiwa eneo lake kabisa kumaanisha huenda ni Arizona la serkali maana unakuta minara ya mabanda ya njiwa mengi kabisa na eneo kubwa.
Unaweza kuangalia hapa

Swali langu hawa wafugaji wa njiwa wanafaidika vipi na hawa njiwa na soko lao lipoje huko uarabuni?

Ni ufugaji wa faida ama mapambo tu?

Ebu kwa wenzetu mlio wahi kuishi huko kwa wenzetu mtuambie kulikoni huu ufugaji wa njiwa wa maelfu kwa maelefu?
 
Sehemu kubwa ya Nchi za Kiarabu ni Jangwa hivyo wanafuga kinachohimili jangwa
Kama unajua waarabu wanapenda sana kula Mbuzi lakini mazingiya ya kwao sio rafiki kwa mbuzi hivyo hununua mbuzi kwa malaki kutoka Afrika kila mwaka; sisi ndio hatujachangamkia fursa......
 
Niliwahi kukutana na kundi la Njiwa Pale Mji Mkongwe Zanzibar nikiwa natbea na Mwanangu wa Kiume.

Wale njiwa walikuwa wengi zaidi ya 500 kundi moja.

Wamesimama wanaokota okota vitu njiani.

Kilichonishangaza hawaogopi watu wala hawakimbii. Mwanangu yule anapenda sana Njiwa na alikamata mmoja akakamata na wa pili.

Wale njiwa wanaonekana kama hawana mtu maalum.

Baadae nikawaza what if hawa njiwa ni Majini ya Mashekhe hapa Stonetown? What if sio Njiwa halisi bali n8 viumbe vingine?

Nikamwambia Mwanangu achia hao njiwa ni wabaya. Mwanangu alihuzunika sana maana nimemkatalia kitu anachopenda
 
Lakini sidhani kama wanafuga kwa lengo la kitoweo!
 
Mimi huwa naona tu huko uarabuni kundi la maelefu ya njiwa..pia utaona watu wanarushi rushia nafaka.

Nimefuatilia kwa muda mrefu unakuta mtu kama na familia yake ana nafaka kama ulezi hivi wanaanza kuwapa.

Imagine mtu anabeba familia yake kwa gari kwenda tu kulisha njiwa mtaani...hapa kuna siri
 
Kuna upendo kwa njia kama tamaduni ya kawaida lkn sasa kuna hawa wenye mambo yao ya ajabu sana kwz hyo kuna kawaida na kuna njiwa ambao ni ushirikina mtupu
 
Ninavyojua mimi
Njiwa huko Middle East ni kwa ajili ya mashindano na huwa wanashindanisha kuruka kwa masafa marefu.
Ni kama kamari ya kiaina
Wana Bet kama mashindano ya Farasi au mbwa

Kuna hela ndefu humo
 
Binafisi nipo interested sana na kilimo na ufugaji sijawahi kujutia.

Kitu kinachoendelea kunishangaza zaidi ni huu ufugaji wa njiwa kwa nchi za kiarabu. Huwa najiuliza hawa jamaa lengo lao ni nini?

Unakuta kundi kubwa la njiwa hadi unashangaa hawa wana milikiwa na mtu mmoja na kwa manufaa gani halafu ajabu zaidi wapo tu mtaani.

Kingine katika kuendelea kufuatilia zaidi huwa naona wanajenga mabanda ya (nymba) za njiwa eneo lake kabisa kumaanisha huenda ni Arizona la serkali maana unakuta minara ya mabanda ya njiwa mengi kabisa na eneo kubwa.
Unaweza kuangalia hapa

Swali langu hawa wafugaji wa njiwa wanafaidika vipi na hawa njiwa na soko lao lipoje huko uarabuni?

Ni ufugaji wa faida ama mapambo tu?

Ebu kwa wenzetu mlio wahi kuishi huko kwa wenzetu mtuambie kulikoni huu ufugaji wa njiwa wa maelfu kwa maelefu?
View attachment 3521852
Hata wasanii wanatunga nyimbo nyingi sana zakuwatuma njiwa kupeleka ujumbe sehemu hasa wakimapenzi. Kuna nini?😁
 
Aisee....wanakuwa wamepewa mafunzo?
Ndio
Wanafundishwa sehemu wanakoanzia mashindano mpaka wanapomalizia

Kwa hiyo wakiachiwa tu wote kuna watu wanawasubiri huko na majaji wanakuwa pande zote
Huwezi kudanganya kwani wanajulikana wanaoshiriki na pia wana tag wote
 
Back
Top Bottom