VIDEO: Kutana na Ameca the humannoid Robot mwenye utashi, asiye amini Mungu

VIDEO: Kutana na Ameca the humannoid Robot mwenye utashi, asiye amini Mungu

Ameca ana camera kwenye macho na pia ana uwezo wa ku-detect uso wa mtu ambaye anazungumza naye na kumfanya astiki kwa mtu huyo na kumjibu

Ana microphones kila sikio hiyo ikimaanisha anauwezo wa kunasa sauti na kujua sauti imetokea upande gani

Robot anauwezo wa ujibu maswali

Kwenye kifua chake, kuna spika ambayo inakuwezesha kusikia replies zake, engineer hakuweza kuiweka spika mdomoni kwasababu ya wingi wa vifaa vilivyowekwa kichwani hivyo hakukuwa na space ya kuweka spika

Ni robot mwenye features nyingi ila jambo ambalo hawezi kufanya ni kutembea, lakini engineer bado anaendelea kushughulikia swala hilo. Engineer alisema itachukua muda mrefu zaidi kwasababu miguu yake itahitajika iwe na muonekano sawasawa na binadamu halisi, ambapo kwa makadirio inaweza kuchukua miezi 12-18 kukamilisha kutengeneza hiyo miguu

Kuna watu wanaakili fupi sana

Hio roboti wanaamini kuna aliyeitengeneza

Lakini hawaamini kuwa yupo aliemtengeneza/aliye muumba binadamu
 
Kuna watu wanaakili fupi sana

Hio roboti wanaamini kuna aliyeitengeneza

Lakini hawaamini kuwa yupo aliemtengeneza/aliye muumba binadamu
Ww ni mmoja ya watu wanao amini kua aliyemuumba huyo mtengeneza robot, yeye hajaumbwa?

Kama unaamini hivyo sioni sababu ya wewe kuziona akili fupi kwa mwenzako wakati na wewe una face tatizo hilo hilo
 
Ww ni mmoja ya watu wanao amini kua aliyemuumba huyo mtengeneza robot, yeye hajaumbwa?

Kama unaamini hivyo sioni sababu ya wewe kuziona akili fupi kwa mwenzako wakati na wewe una face tatizo hilo hilo
How can A creator Be Created??
 
All in all....ipo siku wasio amini wataamini tu lakini kuamini kwao hakutowafaa kitu kwani watakuwa washachelewa...

M/mungu atujaalie tusiwe miongoni mwa watakao kula hasara.....Aamin

Screenshot_20220123-080844.png

Screenshot_20220123-080814.png

Screenshot_20220123-080738.png
 
Ww ni mmoja ya watu wanao amini kua aliyemuumba huyo mtengeneza robot, yeye hajaumbwa?

Kama unaamini hivyo sioni sababu ya wewe kuziona akili fupi kwa mwenzako wakati na wewe una face tatizo hilo hilo
hapo chumbani ulipolala hujui nyuma ya ukuta nini kinaendelea halafu unataka kuhoji kilichopo juu ya mbingu saba kwa akili ya K-VANT...
 
kwahiyo huu ndo uumbaji wa mwanadamu!? poor creatures...

فتبارك الله أحسن الخالقين
Sijui wewe unauoanaje uumbaji huu ambapo muumbaji anadaiwa kua ni perfect

1642926727445.png

1642926747599.png
 
All in all....ipo siku wasio amini wataamini tu lakini kuamini kwao hakutowafaa kitu kwani watakuwa washachelewa...

M/mungu atujaalie tusiwe miongoni mwa watakao kula hasara.....Aamin

View attachment 2092345

View attachment 2092346

View attachment 2092347
Hakuna atheist mwenye perception hiyo

Ila kuna theist wenye mtazamo wa aina hiyo wakiamini kwamba kipo kisababishi ambacho hakina chanzo, kitu ambacho kinawafanya wasioneshe utofauti na yule anayedai mtu hana chanzo
 
Mambo ya MUNGU aliumbwa na nani siyazingatii, ninachojua ni kuwa kilichofanya nikawepo duniani nikawa hai ndicho kinachoitwa MUNGU WANGU na ni sahihi kuabudu maana sina kumbukumbu ya kujiumba. Sasa kwa sababu sijajua ni nini au nani nitaabudu kwa kwa jina la MUNGU WA KWELI, CHANZO CHA UHAI WANGU.
 
Been program to only believe what she/he has been feed...
 
Sijui wewe unauoanaje uumbaji huu ambapo muumbaji anadaiwa kua ni perfect

View attachment 2092484

View attachment 2092485
jibu simple anaumba anavyopenda! kwani unadhani hapa duniani tumekuja kula bata!? hapa ni sehemu ya mitihani ndio maana hao wamekutwa na huo na wewe unakutwa na mwingine ukimwi, ajali, kufukuzwa kazi, mke pasua kichwa n.k yote ni masaibu ya dunia..

yeye anaumba anavyopenda hana wa kumpangia kama ambavyo wewe umekuwa binadamu na hujahoji kwanini usingekuwa tumbili..
 
Kwanini na engineer aliyeumba huyo robot usimuangalie katika angle hiyo hiyo kua ameumba anavyopenda?
 
TANGU LINI MASHINE ILIYO PROGRAMMED KUJUA HAYA MAMBO YA MUNGU?
 
Back
Top Bottom