Video: Kwa ambao hamjawahi kuuona upako njooni hapa niwaonyeshe

Video: Kwa ambao hamjawahi kuuona upako njooni hapa niwaonyeshe

Najiuliza kwa nini huyo kuku anapiga kelele, je anabinywa au amepata mafunzo maalumu?
 
Wajinga ni wengi. Ni aibu jinsi ukristo unavyodhalilishwa
Nadhani point ni hapo kwenye bold.

Ila Ukristo kama dini au imani hauna tatizo ikiwa wewe muumini una akili timamu,Ukristo bado ni sehemu salama sana tatizo muumini anapaswa ajitambue kweli kweli kitu ambacho baadhi hawakitambui.
 
Back
Top Bottom