Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Anaminywa. Hebu angalia vizuriNajiuliza kwa nini huyo kuku anapiga kelele, je anabinywa au amepata mafunzo maalumu?
Fake PHuyo jamaa aliyeshika huyo kuku anam-bonyeza ili atoe sauti ...Wana chezea dini hao
afu mibaba mizima kisa hela tu na kickUjinga ni mwingi sana
Ni kuvumilia tuFor sure...it's irritating
Watashikwa washikwe mara ngapi?Halafu kuna wakuda watashikwa akili
Nadhani point ni hapo kwenye bold.Wajinga ni wengi. Ni aibu jinsi ukristo unavyodhalilishwa
Jogoo anawachek tu mafala wa kuibiwa sadakaThis is extra ordinary anointing
View attachment 2910751
umeona walichosema hapoAbeeee
Unafahamu maana ya paroko au unaropoka tuu?Paroko ni upako wa kiwango.
Nenda kaombewe upate maokoto mengi