Video:Kwa hizi ngumi walizopiga Yanga hatua gani zinaweza kuchukuliwa

Kwa hiyo siku mlipo cheza na Vita Ajibu alicheza au kuna mchezaji wa Yanga alicheza?
Kwani MCHAWI anakuwapo UWANJANI? mchawi hata AKIPIGA MANYANGA KILINGENI kwake YATOSHA KABISA KUKUCHAWIA,,,mechi za SIMBA ,,YANGA mnaonekana na MBUZI MWEUSI na MASHUKA MEUSI ya KAZI GN? ndy haya tunasema kuwa MCHAWI anaona bora afanikiwe MTU wa mbali kuliko NDUGU/ AU JAMAA YAKE wa karibu...MANENO YENU,,yatosha KABISA kuwa nyie YANGA ndy WANGA wa SIMBA...MNYAMA akishinda ROHO/ hadi MAKALIO YENU YANAUMA SN..why? Kama sio WACHAWI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umbumbumbu huu wa Simba kuamini uchawi badala ya mazoezi na kujituma kazi mnayo
 
Kwa umbumbumbu huu wa Simba kuamini uchawi badala ya mazoezi na kujituma kazi mnayo
Kuna YANGA mwenzio mmoja mechi ya NKANA ya ZAMBIA ilibaki KIDOGO apigwe MJEGEJE na SHABIKI wa SIMBA,,,,huko KUPIGA kwenu RAMLI MECHI ZA SIMBA,,,ndy kulitaka kumtokea puani,,,,baada ya Simba kufungwa na NKANA ZAMBIA,,,jamaa akajiapiza kwamba SIMBA LAZIMA ATOLEWE,,,jamaa akaenda mbali zaidi wakawekeana AHADI,,,kwamba kama Simba akipita JAMAA ALIWE TAKO,,,kama akifungwa basi SHABIKI wa SIMBA ALIWE YEYE,, JAMAA wakaandikishiana kwa MAANDISHI na mashahidi ,,,wakakubaliana mechi iangaliwe sehem maalum,,,ili iwe rahisi kwenye KUTEKELEZA HIYO AHADI YAO,,,,BAADA YA SIMBA KUPIGA GOLI LA 3 ,JAMAA WA YANGA ALIJINYEA pale pale,,,,ikabidi BUSARA ZITUMIKE,,,SHABIKI wa Simba aondoke na Simu ya SHABIKI wa YANGA,,, badala ya KUMPIGA JEGEJE,,,,mambo kama hayo ya KUGEUKA WAGANGA NA WACHAWI wa timu PINZANI,,kusaidia MNYAMA afungwe....YATAKUJA KUWATOKEA PUANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Simba hawafanyi vizuri sababu Yanga wanawaloga?
nani kakwambiya Simba hafanyi VIZURI? MCHAWI anapohangaika KUKUVURUGIA MIPANGO YAKO sio LAZIMA afanikiwe, ,,lakini zile harakati na mipango YAKE,,unamuona KABISA kwmba huyu ni MCHAWI,, Maana kila hatua SIMBA ANAYOPITIA,,,basi YANGA MTASEMA HAVUKI,,,tena MNAJIAPIZA KABISA,,,LAKINI kwa UWEZO WA MUNGU,,,MNYAMA tunapita.....sasa utajiapizaje kitu kama hujafanya kitu? KUZUIA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi acheni lomoni tandazeni soka
 
Yanga siku zote nidhamu hawana chaajabu marefa na TFF hua wanawastahi Sana.

kule mbeya mechi na Prison Andrew Vicent kaonesha kabisa kwamba alitaka kumpiga kichwa muamuzi,

maanaake ilikua ni kudhamiria kufanya tendo ovu na wameshindwa kumuadhibu halikadhalika na Makambo alimkanyaga kwa makusudi muamuzi na hakuadhibiwa vilevile.

Hayo ya jana ndo hayaelezeki ni miguu ya shingo miguu ya roho ngumi mkononi na bado waamuzi hawafanyi chochote

Africa tuko nyuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna uwezekano wa Mnyama kulamba haya mamilioni ya sport pesa mwaka huu? Au Wakeny
Mmechezesha wachezaji wawili ambao hawajasajiliwa..mikia out..Leopards wamekata rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…