Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo siku mlipo cheza na Vita Ajibu alicheza au kuna mchezaji wa Yanga alicheza?YANGA wakishatolewa MASHINDANONI wanageuka WACHAWI kusaidia TIMU PINZANI ,,SIMBA AFUNGWE.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani MCHAWI anakuwapo UWANJANI? mchawi hata AKIPIGA MANYANGA KILINGENI kwake YATOSHA KABISA KUKUCHAWIA,,,mechi za SIMBA ,,YANGA mnaonekana na MBUZI MWEUSI na MASHUKA MEUSI ya KAZI GN? ndy haya tunasema kuwa MCHAWI anaona bora afanikiwe MTU wa mbali kuliko NDUGU/ AU JAMAA YAKE wa karibu...MANENO YENU,,yatosha KABISA kuwa nyie YANGA ndy WANGA wa SIMBA...MNYAMA akishinda ROHO/ hadi MAKALIO YENU YANAUMA SN..why? Kama sio WACHAWIKwa hiyo siku mlipo cheza na Vita Ajibu alicheza au kuna mchezaji wa Yanga alicheza?
Kwa umbumbumbu huu wa Simba kuamini uchawi badala ya mazoezi na kujituma kazi mnayoKwani MCHAWI anakuwapo UWANJANI? mchawi hata AKIPIGA MANYANGA KILINGENI kwake YATOSHA KABISA KUKUCHAWIA,,,mechi za SIMBA ,,YANGA mnaonekana na MBUZI MWEUSI na MASHUKA MEUSI ya KAZI GN? ndy haya tunasema kuwa MCHAWI anaona bora afanikiwe MTU wa mbali kuliko NDUGU/ AU JAMAA YAKE wa karibu...MANENO YENU,,yatosha KABISA kuwa nyie YANGA ndy WANGA wa SIMBA...MNYAMA akishinda ROHO/ hadi MAKALIO YENU YANAUMA SN..why? Kama sio WACHAWI
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi anayeamini UCHAWI ni YULE anayeroga? au anayerogwa? nyie ndy MNAHANGAIKA kwenye VILINGE ,,ili MNYAMA afungwe...sasa nani MCHAWI?Kwa umbumbumbu huu wa Simba kuamini uchawi badala ya mazoezi na kujituma kazi mnayo
Kwa hiyo Simba hawafanyi vizuri sababu Yanga wanawaloga?Hivi anayeamini UCHAWI ni YULE anayeroga? au anayerogwa? nyie ndy MNAHANGAIKA kwenye VILINGE ,,ili MNYAMA afungwe...sasa nani MCHAWI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna YANGA mwenzio mmoja mechi ya NKANA ya ZAMBIA ilibaki KIDOGO apigwe MJEGEJE na SHABIKI wa SIMBA,,,,huko KUPIGA kwenu RAMLI MECHI ZA SIMBA,,,ndy kulitaka kumtokea puani,,,,baada ya Simba kufungwa na NKANA ZAMBIA,,,jamaa akajiapiza kwamba SIMBA LAZIMA ATOLEWE,,,jamaa akaenda mbali zaidi wakawekeana AHADI,,,kwamba kama Simba akipita JAMAA ALIWE TAKO,,,kama akifungwa basi SHABIKI wa SIMBA ALIWE YEYE,, JAMAA wakaandikishiana kwa MAANDISHI na mashahidi ,,,wakakubaliana mechi iangaliwe sehem maalum,,,ili iwe rahisi kwenye KUTEKELEZA HIYO AHADI YAO,,,,BAADA YA SIMBA KUPIGA GOLI LA 3 ,JAMAA WA YANGA ALIJINYEA pale pale,,,,ikabidi BUSARA ZITUMIKE,,,SHABIKI wa Simba aondoke na Simu ya SHABIKI wa YANGA,,, badala ya KUMPIGA JEGEJE,,,,mambo kama hayo ya KUGEUKA WAGANGA NA WACHAWI wa timu PINZANI,,kusaidia MNYAMA afungwe....YATAKUJA KUWATOKEA PUANIKwa umbumbumbu huu wa Simba kuamini uchawi badala ya mazoezi na kujituma kazi mnayo
nani kakwambiya Simba hafanyi VIZURI? MCHAWI anapohangaika KUKUVURUGIA MIPANGO YAKO sio LAZIMA afanikiwe, ,,lakini zile harakati na mipango YAKE,,unamuona KABISA kwmba huyu ni MCHAWI,, Maana kila hatua SIMBA ANAYOPITIA,,,basi YANGA MTASEMA HAVUKI,,,tena MNAJIAPIZA KABISA,,,LAKINI kwa UWEZO WA MUNGU,,,MNYAMA tunapita.....sasa utajiapizaje kitu kama hujafanya kitu? KUZUIA?Kwa hiyo Simba hawafanyi vizuri sababu Yanga wanawaloga?
Basi acheni lomoni tandazeni sokanani kakwambiya Simba hafanyi VIZURI? MCHAWI anapohangaika KUKUVURUGIA MIPANGO YAKO sio LAZIMA afanikiwe, ,,lakini zile harakati na mipango YAKE,,unamuona KABISA kwmba huyu ni MCHAWI,, Maana kila hatua SIMBA ANAYOPITIA,,,basi YANGA MTASEMA HAVUKI,,,tena MNAJIAPIZA KABISA,,,LAKINI kwa UWEZO WA MUNGU,,,MNYAMA tunapita.....sasa utajiapizaje kitu kama hujafanya kitu? KUZUIA?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani huoni mkuu?mpaka hatua hyo aliyofika mnyama sio kwa KUBAHATISHA,,,NI SOKA LIMETANDAZWA HASWA,,,,,,TATIZO LA YANGA ni kama DUME LA MBWA,,, anagegeda mwingine,,,,DUME lingine linakata mauno pembeni,,tena peke YAKEBasi acheni lomoni tandazeni soka
Mmechezesha wachezaji wawili ambao hawajasajiliwa..mikia out..Leopards wamekata rufaaMkuu kuna uwezekano wa Mnyama kulamba haya mamilioni ya sport pesa mwaka huu? Au Wakeny
Jana mchezaji wenu karusha ngumi nae kapigwa umeme wakutosha kabisa
Nimeamini mtu mwenye njaa ni mtu kwenye hasira