Video: kwa huu mkumbatio wa meza, maskini Putin anatia huruma, anateseka jamaa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....

Kejeli zimewapungua humu, Ukraine wanafanya mambo hadi nashindwa kufanya kazi hapa kwa raha ninayopata.
Kule Quora mapropaganda hawana hamu...
Hakika inaonyesha Ukraine wanakukuna kunako kwa mapinduzi wayafanyayo huko Ukraine hali inayokupelekea ujawe na furaha gy-sivyo?!
 
Kejeli zimewapungua humu, Ukraine wanafanya mambo hadi nashindwa kufanya kazi hapa kwa raha ninayopata.
Kule Quora mapropaganda hawana hamu...
Yawezekana umepata namna ya kujifariji Kwa kuamini uongo na kuukataa ukweli!
Kama njia hiyo inakusaidia kupunguza msongo wa mawazo basi Endelea nayo!
 
Vipi mmemalizanaje na Chebugati?
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....

Mtoa mada nilifikiri unajua Kirusi kumbe unasumbuliwa na Russophobia? Anayepaswa kutoa taarifa za mwenendo wa vita kwa Putin huwa ni Waziri wa Ulinzi,Shoigu.Hao wengine wanaweza kuwa wameitwa na Putin kwa maswala mengine.Hiyo ndiyo Protocol.
 
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....

Vita vikiisha Russia inabid wakaguliwe marinda maana siyo kwa mziki huu wanaochezea
 
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....

Anaumwa Parkinson nadhani ipo hatua za awali asiposhikilia meza mkono.....mkono unakuwa unatetemeka wenyewe
 
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....

Wewe ndo unateseka ndugu...muda wote unajaribu kujitia moyo.....Putin huko aliko hajui kwamba kuna jamaa wanateseka nusu kifo sababu yake....
 
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....

Vita jamani
Vita ni janga
 
Kwa ninavyojua mimi no easy task in the battlefield. Naomba niishie hapo wenye experience na hayo wanaelewa vyema sana vita haina ukubwa wa eneo wala wingi wa Askari na military hardware. Tatics na strategy ni vitu muhimu Sana.
 
Back
Top Bottom