PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Mkuu unadhani kuwa mama kijacho ni kitu kidogo eeeh... waulize wwliowai kuwa unapata wapi nguvu na ujasiri wa kupiga misamba hivoNimekutana na video hii huko youtube ikionesha msanii wa bongo movie aitwae Nisha ambaye hivi karibuni kunataarifa kwamba ni mjamzito(mama kijacho)akiwa jukwani akiruka sarakasi na kuchana misamba bila kujari hari yake hiyo kitu ambacho ni hatari!video [emoji116] [emoji116]
ahahaaaa kweli ubakaji sio tijaMkuu unadhani kuwa mama kijacho ni kitu kidogo eeeh... waulize wwliowai kuwa unapata wapi nguvu na ujasiri wa kupiga misamba hivo
mimba ya kubakwa haiumiMimwenyewe na doubt kama kweli yipo. Maana mmh
Are u sure?mimba ya kubakwa haiumi
[emoji23] [emoji23]isije nayo tukaambiwa imetoka kama ile ya sepetunga.