Video: Kwa misamba hii jukwaani, Nisha ana mimba kweli au ni kiki?

Video: Kwa misamba hii jukwaani, Nisha ana mimba kweli au ni kiki?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Nimekutana na video hii huko youtube ikionesha msanii wa bongo movie aitwae Nisha ambaye hivi karibuni kunataarifa kwamba ni mjamzito(mama kijacho)akiwa jukwani akiruka sarakasi na kuchana misamba bila kujari hari yake hiyo kitu ambacho ni hatari!video [emoji116] [emoji116]
 
Mkuu unadhani kuwa mama kijacho ni kitu kidogo eeeh... waulize wwliowai kuwa unapata wapi nguvu na ujasiri wa kupiga misamba hivo
 
Mimwenyewe na doubt kama kweli yipo. Maana mmh
 
Labda ameanza kupata uchizi toka abakwe
 
Ana mimba ila siyo ya tumboni, ipo kwingineee..mi napajua
 
hela ngumu jamani lazima uitafute kwa Nguni?!!!
halafu bila kusahau nisha ni mchekeshaji!
nahisi ni moja ya vichekesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom