Video: Kwa raha zake ex-RC Chalamila anachangamsha damu

Video: Kwa raha zake ex-RC Chalamila anachangamsha damu

Huyu jamaa ana upeo mkubwa na ushawishi mkubwa ni vile mifumo yetu ipoipo tu inabidi uende na akili za aliyekupa nafasi zako uweke mfukoni.
Aisee huyo mtu Chalamilla ndiye unasema anaupeo kubwa na anaushawishi???? Aisee unamatatizo ya AKILI wewe huyu mtu ukimtazama tu unamuona huyopo sawa kabisa kiakili na hafai hata kuwa kiongoze wa familia.
 
Yule hana shida,,lile tamko la mabango actually lililenga kuonyesha nchi imekuwa huru,free shida hakujua namna ya kuliwakilisha mbele ya hadhira,,akachapia...,
Na hata mm nilimwelewa hivyo. Sijui kwann waliomteua wakachukia?
 
Aisee huyo mtu Chalamilla ndiye unasema anaupeo kubwa na anaushawishi???? Aisee unamatatizo ya AKILI wewe huyu mtu ukimtazama tu unamuona huyopo sawa kabisa kiakili na hafai hata kuwa kiongoze wa familia.
Tafsiri yako tu hii mkuu. Yawezekana wewe unayetafsiri hivi, weww ndiyo una ugonjwa wa akili na ndiyo sabb unashindwa kumwelewa Chalamila unapomtazama.
 
Back
Top Bottom