Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Eeh wote wamepiga sana hela hawa watu 😅😅😅 hata Sabaya mwenyewe, Makonda wana hela ndefu tu wala hawana haja ya kuwazia maisha magumu tenaMoja ya majemedari wa mwendazake wote walishapuga Pesa ndefu sana kiasi nothing to worry out...!