Eeh wote wamepiga sana hela hawa watu π π π hata Sabaya mwenyewe, Makonda wana hela ndefu tu wala hawana haja ya kuwazia maisha magumu tenaMoja ya majemedari wa mwendazake wote walishapuga Pesa ndefu sana kiasi nothing to worry out...!
Wanaendana tu akili si huwa wanazificha mifukoni.Mwenye akili hawezi kuendana na wenye bongolala.
Ndugu ambaye wewe hauna matatizo ya akili naongelea upande mmoja unaoufahamu wewe kumhusu, mapungufu anayo na mazuri anayo pia.Aisee huyo mtu Chalamilla ndiye unasema anaupeo kubwa na anaushawishi???? Aisee unamatatizo ya AKILI wewe huyu mtu ukimtazama tu unamuona huyopo sawa kabisa kiakili na hafai hata kuwa kiongoze wa familia.
Kweli kabisa akina nanii wanataka jamaa apate tabu kama SubayaKuna watu wanataka kila mtu ayachukulie maisha kwa ugumu na userious wanaotaka wao.
Kuna watu hata chalamila kula bia wanaumia walitaka awe mnyonge.
Yaani wanataka kila mtu aishi kwa stress kama wao.Kweli kabisa akina nanii wanataka jamaa apate tabu kama Subaya
Huyo mtu ni MAJUNUNI kwahiyo kuwa mtu MAJUNUNI siolazima avue nguo ndio ujue Majununi.Ndugu ambaye wewe hauna matatizo ya akili naongelea upande mmoja unaoufahamu wewe kumhusu, mapungufu anayo na mazuri anayo pia.
Wa nyimbo za kihehe au
Wapi hapo naona kama yupo nchi za baridi
.