Zanzibar 2020 Video: Laana ya wizi wa kura 2015 yamtafuna Salim Jecha. Ashindwa kujieleza vizuri, ajing'ata ulimi

Watu washafyatua nyaya za medulla oblongata... Zanzibar sio poa
 
Hivi hata huo Uwenyekiti wa TUME aliupatapataje.... Au ndiyo Ukada wenyewe huo!?
Mambo kama haya yanweza kutokea Tanzania pekee hapa Duniani.Sheria zipo lakini zinapindishwa/zinavunjwa bila hofu na watawala wasiojali.
Fikiria,hivi Jecha huyu angemtangazaje Mh.Maalim Seif Shariff kushinda uchaguzi 2015?Ukada wake angeupeleka wapi?Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anapogombea,ni sawa na refa kupiga penalti kwa niaba ya timu mojawapo aipendayo.
Viongozi wa Tume pia ni wanasiasa?
 
CCM ni tatizo kuliko ujuavyo ?
 
huyu dishi lisha yumba alikuwa mwenyekiti mwaka 1915-18 hahahahaha X

kama alihaidiwa uraisi kwa yale aliyo yafanya atasubiri sana.
Huyu mzee haoni Soni hata chembe. Kwa aliyoyafanya hakutakiwa kuonekana hadharani. Angejichimbia kigamboni kawa hayati Jumbe.
 
Back
Top Bottom