Video: Leo Askofu Gwajima kafanya Ibada mbele ya Polisi na Mbele ya kanisa lake wala hakuna aliyemgundua

Video: Leo Askofu Gwajima kafanya Ibada mbele ya Polisi na Mbele ya kanisa lake wala hakuna aliyemgundua

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Leo Askofu Gwajima kaenda Kanisani kwake na Vijana wake kufanya Ibada. Polisi walikuwepo lakini hakuna aliye mgundua kama ni Gwajima.

Nipende Jinsi Gwajima anavyo Jiamini. Wala hawaogopi Polisi. Tangu awatoroke pale Kanisani. Nikamvulia kofia. Umeme ulizimwa akasepa.

Leo kapiga maombi akasepa.

Alitaka kuonesha watu wajue kama ni Mzima wala Hajatekwa wala hajatoroka Nchi kama watu wanavyodai. Kajitokeza. Mumemfanya nini?
 
Baada ya hii movie ya Gwajima mnapita na movie gani tena?

Ilikuja ya Lissu mahakamani ikapita.

Ikaja ya Martha Karua ikapita
Ikaja ya Mwangi na rafiki yake inasahaulika sasa.

Sasa hivi main character ni Gwajima.
 
Mbona hajaonekana
Ukiona hivyo humjui
Screenshot_20250608_202113_VEdit Video Cutter and Merger.jpg
 
Baada ya hii movie ya Gwajima mnapita na movie gani tena?

Ilikuja ya Lissu mahakamani ikapita.

Ikaja ya Martha Karua ikapita
Ikaja ya Mwangi na rafiki yake inasahaulika sasa.

Sasa hivi main character ni Gwajima.
Sasa inafuata ya Samia Suluhu Hassan, ambaye hujawahi kumshuhudia katika hali yake hii mpya. Upo tayari?
 
Hapo wanapokutana, serikali wajenge msikiti

No reform, no election.
 
Baada ya hii movie ya Gwajima mnapita na movie gani tena?

Ilikuja ya Lissu mahakamani ikapita.

Ikaja ya Martha Karua ikapita
Ikaja ya Mwangi na rafiki yake inasahaulika sasa.

Sasa hivi main character ni Gwajima.
Assess na impacts za kila matukio baadae ndio utajua mmegain au mmepoteza
 
Week 4 sio nyingi....tutakuwa na villain mpya.
Imenilazimu nirudi nyuma kutazama maana yako ya 'villain'.

Kama matukio kama hayo ya akina Martha Karua na Boniface Mwangi yana-'qualify', kuwa matukio muhimu ya wiki; basi katika 'definition' hiyo unayo lenga wewe inawezekana yakawepo mengi tu!
Mimi nachukulia matukio mazito; kama ya Tundu Lissu kuachiwa HURU, bila ya masharti yoyote; Samia kubwaga manyanga na kukubali MAREKEBISHO kabla ya uchaguzi mkuu.

Mambo makubwa kama hayo; siyo 'transient' kama hayo unayoyalenga wewe.
 
Sina tatizo na lolote linalolenga kuboresha mazingira sawia ya kiuchaguzi au kupinga utekaji. I totally agree.

Shida yangu imekuwepo kwenye sijui niziite "flaws" zilizomo ndani mchakato mzima. Wanasiasa/opportunists kibao wamepenyeza dhamira zao kilichopelekea madhaifu kibao.

Imekua kama filamu za James Bond....ndani ya mwezi tu tumekuwa na matukio lukuki na mara zote ikitokea wafuasi wakawa na pelekwa kama nyumbu usitegemee matokeo mazuri.

Kuachiwa kwa Lissu ni suala la muda tu..... haitofika September.
 
Back
Top Bottom