figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mi nilidhani sasa hivi yuko Tel AvivLeo kapiga maombi akasepa.
Alitaka kuonesha watu wajue kama ni Mzima wala hajatoroka Nchi kama watu wanavyodai🥺🥺🥺👌🏿💪🏿
Sasa inafuata ya Samia Suluhu Hassan, ambaye hujawahi kumshuhudia katika hali yake hii mpya. Upo tayari?Baada ya hii movie ya Gwajima mnapita na movie gani tena?
Ilikuja ya Lissu mahakamani ikapita.
Ikaja ya Martha Karua ikapita
Ikaja ya Mwangi na rafiki yake inasahaulika sasa.
Sasa hivi main character ni Gwajima.
Week 4 sio nyingi....tutakuwa na villain mpya.Sasa inafuata ya Samia Suluhu Hassan, ambaye hujawahi kumshuhudia katika hali yake hii mpya. Upo tayari?
Assess na impacts za kila matukio baadae ndio utajua mmegain au mmepotezaBaada ya hii movie ya Gwajima mnapita na movie gani tena?
Ilikuja ya Lissu mahakamani ikapita.
Ikaja ya Martha Karua ikapita
Ikaja ya Mwangi na rafiki yake inasahaulika sasa.
Sasa hivi main character ni Gwajima.
Imenilazimu nirudi nyuma kutazama maana yako ya 'villain'.Week 4 sio nyingi....tutakuwa na villain mpya.
Kituo kinacho fuata ni hikiTundu Lissu kuachiwa HURU
Sina tatizo na lolote linalolenga kuboresha mazingira sawia ya kiuchaguzi au kupinga utekaji. I totally agree.Imenilazimu nirudi nyuma kutazama maana yako ya 'villain'.
Kama matukio kama hayo ya akina Martha Karua na Boniface Mwangi yana-'qualify', kuwa matukio muhimu ya wiki; basi katika 'definition' hiyo unayo lenga wewe inawezekana yakawepo mengi tu!
Mimi nachukulia matukio mazito; kama ya Tundu Lissu kuachiwa HURU, bila ya masharti yoyote; Samia kubwaga manyanga na kukubali MAREKEBISHO kabla ya uchaguzi mkuu.
Mambo makubwa kama hayo; siyo 'transient' kama hayo unayoyalenga wewe.