Ujinga wa ishu ya Hamza eti baada ya kumaliza risasi zake kanyoosha mikono juu ndio polisi wakammiminia risasi Mia nne, mafala kweli.Nimekumbuka tu kifo cha Hamza.
Mwamba alifariki na Siri nyingi sana
Mbona naona umehusanisha vitu visivyoendana.
Mbona Hamza risasi zilimwishia?Hamza alikuwa armed na assault riffle (AK 56) which is offensive, wakati huyu amateur yuko armed na pistol (defensive).
Huwezi approach mtu yupo armed na assault riffle, tena mbili, zenye magazine yenye 30 rounds each (total 60 rounds) na kagari kako unless unataka kugeuzwa chekecheke.
Kingine, alijitakia kifo mwenyewe, alijikuta rambo, upo mahali exposed afu unarushiana risasi na armed police men, kwani we ni mwili wa chuma au some kind of super hero?
ππ tekniki kali. ππKunguru ni ndege mdadisi na mwenye kiburi sana, ni mwepesi wa kugundua mienendo inayoweza kuwa hatari kwake na hivyo kuepuka hatari na kuendelea kuchunguza kwa mbali huku akialika kunguru wengine waje kushuhudia kama mzoga unalika.
Ushauri kwa Jeshi la Polisi hasa kitengo cha upelelezi: Tumieni idadi kubwa ya kunguru walioka Dar es salaam kupata taarifa za kiinteligensia, wakamateni wakiwa wachanga, wafanyieni mafunzo, watakaohitimu wavishwe kamera. tawasaidia sana kuona matukio mengi jijini.
Nimeitumia kidogo mkuu.Mzee baba umeiona ak 47 au unabwabwaja tu