Video: Lini Polisi wetu watakuwa na haya Maarifa?

hili hata mgambo analifanya walah
kibongo bongo wajamaa wangemgeuza shabaha.

Uliwahi kusikia wapi ndani ya Tanzania hii, Majambazi walio na silaha wamebaki salama? pale mishe zao zinapo back fire?
 
Nimeitumia kidogo mkuu.

Kwa dhamira ya Hamza, ile siku uwezekano wakumpata akiwa hai ulikuwa mkubwa sana.

Kwani mkuu jamaa wangempiga hata miguu ingekuwaje?

Yule mwamba alikufa na siri nyingi sana.
Na ndio hawakutaka hizo siri zitoke ndio maana wakamuua
 
Sasa unakuta mtu kaingizwa jeshi na mjomba hata yale mafunzo ya technically hakuyapata vizuri.........unafikiri ataenda kufanya nini akiitwa eneo kama lile???
 
Naamini kina hamza wengi wanaendelea kuzaliwa

Kile kibano mlichopewa wakazi wa kawe bila kosa lolote na naamini ile roho ya Hamza imewaingia kwa wingi
Siku mnakamata hiyo mashine hatawachelewesha hao Watesi wenu.
 
Nimeitumia kidogo mkuu.

Kwa dhamira ya Hamza, ile siku uwezekano wakumpata akiwa hai ulikuwa mkubwa sana.

Kwani mkuu jamaa wangempiga hata miguu ingekuwaje?

Yule mwamba alikufa na siri nyingi sana.
Mkuu umeshawahi kutumia bunduki?
 
Kwani mkuu jamaa wangempiga hata miguu ingekuwaje?
Siungi mkono uuwaji wa hamza ila kjmiga miguuni risasi mtu mwenye AK mkononi bado haujafanya kitu,unajua what next ?

Utampandisha temper na inaweza kupelekea madhara zaidi kwa sababu bado anao uwezo mikononi wa kufanya mashambulizi.

Labda ungeshauri snipers wangetafuta angle nzuri za kumpira risasi mikononi ili aishiwe nguvu asiweze tena kutumia silaha hizo.
 
Mkuu umeshawahi kutumia bunduki?
YAani mtu yuko na AK full magazine 30 alafu umpige risasi ya mguu wakati huo bado amekamatia ak yake mikononi ?

Hehhhehhehehe wana jamii forum wanataka wajigeuze wawe wana jamii fala humu
 
😀😀 Merry Christmas Mkuu 🎄🎄
 
Siungi mkono uuwaji wa hamza ila kjmiga miguuni risasi mtu mwenye AK mkononi bado haujafanya kitu,unajua what next ?

Utampandisha temper na inaweza kupelekea madhara zaidi kwa sababu bado anao uwezo mikononi wa kufanya mashambulizi.

Labda ungeshauri snipers wangetafuta angle nzuri za kumpira risasi mikononi ili aishiwe nguvu asiweze tena kutumia silaha hizo.
Ushauri mzuri!

Tunatofautina mitazamo.
 
Na ndio hawakutaka hizo siri zitoke ndio maana wakamuua
Kibongo bongo Police wakihisi una silaha na umefanya/umejaribu kufanya uhalifu, lazima wakuue kabla hawajakufikia/ukifa ndio watakusogelea.
Na watahitimisha tu, kulikuwa na majibizano ya risasi! Tukawashinda.
 
Mbona Hamza risasi zilimwishia?
Hivi suluhisho lilikuwa moja tu ?
A good thing alikuwa hawashambulii raia
How sure are u kuwa aiishiwa rounds? Did u check the magazines?

Kanuni za PLAN, nguvu iliyotumika ni sawa sawa na nguvu alokuwa nayo
 
Sawa!

Tuje kwenye matukio mengine, ni wapi uliwahi kusikia Polisi wa Tanzania wamewakamata washukiwa wa ujambazi wenye silaha wakiwa hai?
 
How sure are u kuwa aiishiwa rounds? Did u check the magazines?

Kanuni za PLAN, nguvu iliyotumika ni sawa sawa na nguvu alokuwa nayo
Umesikia ya Vingunguti?

Police wameshindwa kuwakamata Vijana 6 waliokuwa na Silaha aina ya Mapanga.
Wakaua hapo Watatu wengine Watatu walitoroka.

Means hakuna aliyeshikwa akiwa hai.

Na hao waliokimbia ndio pona pona yao.
 
Kama ni kweli walikuwa na machetes na dhamira ya kutekeleza uhalifu kama inavyosemekana they deserved death!

Panga ni lethal weapon, sawa na gun.
Mi hunijii na panga afu nina gun nikakuacha, nakuua, kifo chako kipo justified
 
✌️✌️
 
Mbona Hamza risasi zilimwishia?
Hivi suluhisho lilikuwa moja tu ?
A good thing alikuwa hawashambulii raia
Tatizo ilikuwa ngumu kudhibitisha kwa wakti ule kwamba kaishiwa kweli au la..
 
Back
Top Bottom