Video: Lissu na CHADEMA kaeni na hawa wananchi wa Salasala wawafunde kuhusu maandamano. Strategy yenu ya sasa inafeli!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nadhani kupitia video ya wananchi wa Salasala, Lissu na CHADEMA kwa ujumla mnaweza kujifunza kitu.

Hapa kama mnavyoona, kuna mixer ya wamama na vijana wameandamana wenyewe bila ya msukumo wowote kutoka kwa wanasiasa wakiitaka serikali iwatengenezee matuta ili kupunguza ajali za watoto.

Hakukuwa na press conference kutoka kwa Lissu wala tamko la Heche. Ni wao wenyewe kwa utashi wao wameamua kuandamana ili kuleta mabadiliko.

CHADEMA mjifunze hapa. Watanzania kwa sasa hawawezi kuandamana kisa mambo ya kisiasa. Kama TUME HURU na KATIBA MPYA au wanasiasa kutekwa na kupigwa risasi. Bado watanzania hawako that politically active.

Soma pia: Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

Kitakachowainua watanzania waandamane ni social issues, sio katiba mpya! Masuala yanayowagusa moja kwa moja ndio yatawaandamanisha wala sio NO REFORM no elections.

Uzembe wa serikali kwenye basic issues, mfumuko wa bei ULIOKITHIRI na matukio yanayogusa wazee na watoto, thats where watu (ordinary people) wataguswa na kuandamana.

Kutaka watu tulale barabarani kisa NO REFORMS NO ELECTION ni utopian thoughts
CHADEMA badilisheni strategy!

Porojo za Katiba Mpya sio hitaji la Wananchi.
 
Back
Top Bottom