Video Ma-Zombi wa Nairobi inatisha, inasikitisha

Video Ma-Zombi wa Nairobi inatisha, inasikitisha

Kwanini Afrika hatupati kiongozi kama Duterte? Duterte aliamua kuua wote na anaua kweli...

Samahani sna mama yngu kwa Usumbufu naomba maoni khs ili...
Screenshot_20190222-222546.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania inafahamika kuna mateja. Swali, ni mateja wa heroine (unga) pekee? Au kuna kama haya ya Nairobi?

Inapaswa tufaham kuwa tatizo la jirani ni letu pia.
Mfano mzuri Manji.
 
Mungu anatufundisha tupendane, tuombeane mema, tusamehane, mtu akikosea mrekebishe muonyeshe njia sahihi, sasa tukianza kuuana kisa mapungufu ya kibinadamu si tutamalizana wote.
Hukumu za Mungu za kuua ni kuua. Damu kwa damu, jino kwa jino.
 
NImeangalia mazombi nimemwangalia na msouth
aisee Mungu atuhurumie tu kizazi hiki kwakweli
 
Bulaya001 , rafki angu kwenye haya maisha imani juu ya uwepo wa Mungu ni muhimu sana.Mtu huwezi hata sku moja kuzihimili changamoto bila iman na huwez kukimbia ukweli kwa kusema you reduce or run out from stress.So in most. cases iman inahusika sana tuh.
 
Back
Top Bottom