barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Mkuu Ta Muganyizi umenifananisha bila shaka,huyo ni Barafu YamotoBarafu ni wewe??? au kuna mtu amehack akount yako??!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Ta Muganyizi umenifananisha bila shaka,huyo ni Barafu YamotoBarafu ni wewe??? au kuna mtu amehack akount yako??!!
No kidding ,hiyo ndiyo kauli yao leo katika gazeti maarufu la New York Times opinion page.Kenya wanauzidi hata USA kwa Demokrasia wacha kuwalinganisha na Tanzania. Sisi tulinganishe na Burundi au Rwanda au Somalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hawafai kuonyesha hili hata kidogo sababu ya professionalism -lazima wake neutral .Sasa wakitumwa ngome ya rais Uhuru wataweza kufanya kazi yao bila upendeleo kweli?Hapo maana yake ni kwamba polisi nao walikuwa wanashangilia ndiyo maaña wakaungana na raia kushangilia. Hivi hiyo ingetokea hapa kwetu sura ya aliyetenguliwa ingeonekanaje? Angalia Uhuru Kenyatta alivyokuwa na alichosema. Ingekuwa Tz, amiri jeshi angetimiza uamiri jeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
This Supreme Court decision is monumental. It has set a new standard, internationally.No kidding ,hiyo ndiyo kauli yao leo katika gazeti maarufu la New York Times opinion page.
![]()
kwli