Video: Maelfu waimba wimbo wa mdogo mdogo, Diamond akitumbuiza kule Guinnea Bissau

Video: Maelfu waimba wimbo wa mdogo mdogo, Diamond akitumbuiza kule Guinnea Bissau

Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show ,
Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja






Moja ya urithi wa nchi
 
Uko nako itakuwa alienda na coaster 3

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
 
Jamaaa ana juhudi sio kitoto...!! Anastahili mafanikio aliyo nayo, hayupo msanii mwingine bongo wa kukichafua hvi
 
Back
Top Bottom