Ipo sahihi kabisa hii sentensiHebu rekebisha mkuu
Diamond hamna kitu. Ananunua tu mashabiki.Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show ,
Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah mnasifia hio fiesta ya Guinea
Halafu wee nae una shida.Aaah mnasifia hio fiesta ya Guinea
Halafu wee nae una shida.
Mimi napenda jinsi ulivyo loaded na info zote za MondiTatizo lenu nikipita vileee,mnaniita wenyewe mention kama zote,nikijibu mnapanic aiseee
Mimi napenda jinsi ulivyo loaded na info zote za Mondi
May be may be. Not na hii ikoje English sio goodmorning jamaniLocal man cannot can understanding this..
Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show ,
Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja
KingerezaLocal man cannot can understanding this..