Video: Maelfu waimba wimbo wa mdogo mdogo, Diamond akitumbuiza kule Guinnea Bissau

Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show ,
Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja




Aisee.... hao wote ni Watanzania nini!!!!???? this is massive
 
Nnaangalia video yake hapa.nnaona anakirusha kidada chakizungu Hadi huruma[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…