EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Uko mbeya pande zipiAisee mimi kukaa kwangu kote Mbeya sijawahi kushuhudia mafuriko
Au hsta kufikiria tu kuwa mazingira yale ni rafiki kwa mafuriko napo sijawahi.
Au labda ni maeneo fulani yenye tambarare kama Usangu na Ubaruku?
Ahsante jamaaPoleni Sana Wakina Mwaisa
Aisee mimi kukaa kwangu kote Mbeya sijawahi kushuhudia mafuriko
Au hsta kufikiria tu kuwa mazingira yale ni rafiki kwa mafuriko napo sijawahi.
Au labda ni maeneo fulani yenye tambarare kama Usangu na Ubaruku?