PreGE2025 Video: Makalla, Wapenzi wa Simba na Yanga msiwaunge mkono Chadema muda utakapofika

PreGE2025 Video: Makalla, Wapenzi wa Simba na Yanga msiwaunge mkono Chadema muda utakapofika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Muda mwingine mihemuko ni jambo baya Sana, hii ndio type ya viongozi walio jaa uozo tulizo nazo.

Nani kamwambia hizo team za simba na yanga hazina wafuasi wa chadema ndani yake?

Halafu kuwa mwanachama wa chadema si ndio uhuru wa kimaamuzi na kimachaguo ?, au ime kuwa vita siku hizi!
 
Moja kati ya kitu sipendi na hawa viongozi kutoa amri ya kuumiza wengine, naamini wapo walio choka hivyo vitendo pia.

so siku ziki kaa vibaya kichwani, nasi tuta Anza kuwa gusa pia ili wasikilizie maumivu.
 
Huyu jamaa Magufuli alipomtumbua watu walipiga kelele kumbe n kilaza hivi.

Lema ni mwanachama huru w chama mawazo yake sio msimamo wa chama

Chadema ni chama Cha democrasia na maendelea
 
Huyu anatakiwa Athibitishe Mpox na Ebola aliyoiona Chadema wakieneza.
 
Back
Top Bottom