Video: Mama aelezea mwanae alichukuliwa na gari la Polisi lakini amezunguka vituoni na hospitali hajampata

Video: Mama aelezea mwanae alichukuliwa na gari la Polisi lakini amezunguka vituoni na hospitali hajampata

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kupitia ripoti ya DW ikimuhoji Mama kwa jina Elizabeth Makule, ameelezea namna mwanae alichukuliwa na gari la Polisi ikiwa baada ya kupigwa risasi mguuni katika vurugu zilizotokea Oktoba 29,

Mama huyo amesema tayari amefika katika vituo mbalimbali vya Polisi na hospitali lakini hajamuona mwanae hivyo imembidi afike mahakamani apate msaada, ameomba Serikali isaidie wazazi kuweza kupata watoto wao kwani siyo wote walikua na nia ya kushiriki maandamano hayo ya Oktoba 29


 
Itawezekana kweli kuwapata maana Muliro anasema picha za waliouwawa kwa risasi na wale wanaopigwa virungu huku wamelala chini na wengine wanakanyagwa vichwa ndani ya defender eti ni picha zakutengeneza.
 
Back
Top Bottom