PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo sawa. Sijui ni mkoa gani, lakini jambo hili halikubaliki kabisa.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo sawa. Sijui ni mkoa gani, lakini jambo hili halikubaliki kabisa.