Hapo tena ni ccm?Na watu wanaangalia tu, CCM imewafanya Watanzania wamekua kama nyumbu.
Ndio kwa sababu ndio imewafanya Watanzania wawe hivyo. Toka uhuru ni CCM inatawala.Hapo tena ni ccm?
Naelewa kwa nn maandamano hayatafanikiwa
Mbona kama mwizi. Huyo mwenye jezi ya CCM ni katili sanaHuyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo sawa. Sijui ni mkoa gani, lakini jambo hili halikubaliki kabisa.
Hata hiyo hairuhusiwi kumpiga.Habari haina chanzo kamili huwezi kujua labda alimfyolea mwenye eneo lake ndipo kuchukua maamuzi hayo.
Upo sahihi ila kunamuda hasira hugeuka maafa.Hata hiyo hairuhusiwi kumpiga.
Angemshitaki.
Hakuna amani kabisa dunianHuyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo sawa. Sijui ni mkoa gani, lakini jambo hili halikubaliki kabisa.
Mkuu hapo ni Narung'ombe jengo la DDC meza iliyo mbele ya frame no 18.Mbona panafanana na Mbezi Louis Dar?
Au Mwenge Dar?
Shukrani.Mkuu hapo ni Narung'ombe jengo la DDC meza iliyo mbele ya frame no 18.
Akaripoti Polisi kwanzaHuyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo sawa. Sijui ni mkoa gani, lakini jambo hili halikubaliki kabisa.
Alafu huyo anayemnyanyasa mama wawatu kavaa jezi ya CCM. Ovyo kabisaHuyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo sawa. Sijui ni mkoa gani, lakini jambo hili halikubaliki kabisa.
Na haitakaa ipatikane maana kila mtu anajichagulia mnyonge wake anapita nae!Hakuna
Hakuna amani kabisa dunian