VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

Yaan dakik chache zilizopita nilikuwa nafkiria hili suala baada ya kuona malalamiko ya Christian Bella. Kweli kbs mzk wa sasa bila kiki hufiki popote. wanazikataa kiki lkn ni ukwel usiopingika zinawasaidia sana
 
Ss mbona hawaonyeshi wakiwa wamepakata kitoto.
Kwenda hospitLi manake wameenda kumuona hamisa...
Hospitalini hawaruhusiwi kwenda ht km wanaumwa..au wana mgonjwa...
Wabongo bana...hii haitoshi kusema walienda kwa hamisa..
Soudy aliingia hadi ndani na akamkuta Esma hapo kwa Hamisa....ati kajifunga khanga anasuuza suuza vyombo
 
Aisee soudy nouma ni mmbeya Hatari,kama Ana PhD ya umbeya, kweli hashindwi maana hata akichambana na sepenga lzm amshinde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa coverage ya hawa watt wanajitahidi kufika level za kina TMZ kiaina ila kuanika namba za gari ya mtu vile sio sahihii..watu tumekwishawaona inatosha!so sudy next time angalia hilo epusha usumbufu kwa mwenge gari.

Bytheway Zari mavi debe!
Usumbufu gani! na kwa lipi?muulize ka amepata usumbufu?
 
Ss mbona hawaonyeshi wakiwa wamepakata kitoto.
Kwenda hospitLi manake wameenda kumuona hamisa...
Hospitalini hawaruhusiwi kwenda ht km wanaumwa..au wana mgonjwa...
Wabongo bana...hii haitoshi kusema walienda kwa hamisa..
Naomba niulize kidogo. Kwani hao watu hawajuani na mabeto? Je, mtu aliyejifungu hata kama si wa diamond si lazima waende kumjulia hali! Tatizo nini?
 
Jamani mtoto ana kosa gani ? Tena Diamond namshangaa kwa nini hatangazi kama anavyowatangaza wanae wengine ,alitakiwa aseme kapata baby 3.Atakuwa bonge la mpumbavu kama ataficha kisa anamwogopa Zari.
 
Ila shilawadu jaman hapana kwakweli
 


Ninachoshongaa, wewe kama mbinu zote unazo, unasubiri nini kutoboa?
 
Ukiwa na mtoto wa kike utajua uchungu wake unalomfanyia mtoto wamwenzio ipo siku litapiga hodi kwenu r.I.p mama zari, ujana maji ya moto zari pambana fore the sake of tiffa na nillan shida zina miguu.
 
Anhaa kwahiyo kumbe na nyie mnakubali kuwa boss wenu hajui kuimba Bali anatengeneza kiki ili auze mziki wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…