Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan dakik chache zilizopita nilikuwa nafkiria hili suala baada ya kuona malalamiko ya Christian Bella. Kweli kbs mzk wa sasa bila kiki hufiki popote. wanazikataa kiki lkn ni ukwel usiopingika zinawasaidia sanadiamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...
hiyo kiki hiyo ameitengeneza... yeye ndio kawaambia nendeni hospitali....
dogo ajaenda shule ana akili kuliko ma prof wa markerting...
ukitaka uwin kwenye music wa tanzania imba nyimbo nyepesi watoto kukariri.. cheza kwa style watoto wakariri haraka... kisha weka maisha ya umbea umbea wanawake wakujadili... hapo unatoboa
Soudy aliingia hadi ndani na akamkuta Esma hapo kwa Hamisa....ati kajifunga khanga anasuuza suuza vyomboSs mbona hawaonyeshi wakiwa wamepakata kitoto.
Kwenda hospitLi manake wameenda kumuona hamisa...
Hospitalini hawaruhusiwi kwenda ht km wanaumwa..au wana mgonjwa...
Wabongo bana...hii haitoshi kusema walienda kwa hamisa..
Usumbufu gani! na kwa lipi?muulize ka amepata usumbufu?Nimependa coverage ya hawa watt wanajitahidi kufika level za kina TMZ kiaina ila kuanika namba za gari ya mtu vile sio sahihii..watu tumekwishawaona inatosha!so sudy next time angalia hilo epusha usumbufu kwa mwenge gari.
Bytheway Zari mavi debe!
Naomba niulize kidogo. Kwani hao watu hawajuani na mabeto? Je, mtu aliyejifungu hata kama si wa diamond si lazima waende kumjulia hali! Tatizo nini?Ss mbona hawaonyeshi wakiwa wamepakata kitoto.
Kwenda hospitLi manake wameenda kumuona hamisa...
Hospitalini hawaruhusiwi kwenda ht km wanaumwa..au wana mgonjwa...
Wabongo bana...hii haitoshi kusema walienda kwa hamisa..
diamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...
hiyo kiki hiyo ameitengeneza... yeye ndio kawaambia nendeni hospitali....
dogo ajaenda shule ana akili kuliko ma prof wa markerting...
ukitaka uwin kwenye music wa tanzania imba nyimbo nyepesi watoto kukariri.. cheza kwa style watoto wakariri haraka... kisha weka maisha ya umbea umbea wanawake wakujadili... hapo unatoboa
Ninachoshongaa, wewe kama mbinu zote unazo, unasubiri nini kutoboa?
Mhuu zari maskini atakoma kuolewa na mother's boy tena wa uswahilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa kwahiyo kumbe na nyie mnakubali kuwa boss wenu hajui kuimba Bali anatengeneza kiki ili auze mziki wakediamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...
hiyo kiki hiyo ameitengeneza... yeye ndio kawaambia nendeni hospitali....
dogo ajaenda shule ana akili kuliko ma prof wa markerting...
ukitaka uwin kwenye music wa tanzania imba nyimbo nyepesi watoto kukariri.. cheza kwa style watoto wakariri haraka... kisha weka maisha ya umbea umbea wanawake wakujadili... hapo unatoboa
Unamaana huyo diamond hana hela hadi ahongwe
Sent from my TV
Mbona kama umepaniki ivOvyo kweli wewe anapesa au anavisenti hivi wakiitwa wenye pesa huyo domo wako atasogea temembea uone wewe ovyo